Tundu Lissu: Nitakwenda Chato, nitamwambia Magufuli amka uone Rais Samia anavyofanya

Una uhakika gani samia kaiba?kwa hayo maneno ya lisu bdo ujaona siasa ni unafki
Leo anamuona magu shujaa akati jana alimtuhumu kwa wiz na kutka kumuua
Mtu kama huyo leo anatoa kauli ingine afu unamuamin ?
Ignored!
 

Pumba [emoji706][emoji1005]
 
Tweet ya suphian

kaka yangu
@TunduALissu
unamkejeli Rais
@SuluhuSamia
eti hatoshi umesahau ndiye:

1)Kiongozi wa juu pekee aliyekuja kukufariji Kenya na Ubeligiji

2)Kulipa mishahara, pensions za Ubunge

3)Kupatia passport4)Kulipia ndege kutoka Ubeligiji

6)Kufuta watu wasiojulikana

JITAFAKARI!!
 

Umetumia nguvu kumtetea ila jua kesho atabadilika tena uyo xo tunza maneno yako
 
Makamu mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Lissu amesikika akisema atakwenda Chato kufanya mikutano wa kisiasa lakini pia atafika nyumbani kwa Hayati Magufuli na kuona alipozikwa na hata kusali hapo.

Lissu anakwenda kuhiji kwenye kaburi la hasimu wake mkubwa zaidi katika maisha yake ya kisiasa ni ili amsamehe?

Lissu siku za karibuni amesikika akimtaja Magufuli kwa lugha “Rafiki “ na inayoashiria kuachilia moyo na kusahau yaliyopita. Jambo hili ni jema sana na linaonesha ukomavu mkubwa sana wa Lissu kisiasa na kiroho!
 
Rais anajikejeli mwenyewe kwa kufanya mambo kwa papara bila kuhusisha mfumo sahihi wa uongozi na bila kufuata na kuzitafakari sheria za nchi yetu.

Tundu Lissu anatamka kile chenye ushahidi wa matamshi na maandishi. Kila mahali ambapo Lissu ameenda, tunamwona akisoma vifungu vya sheria, katiba na mikataba ukiwepo huu wa kugawa bure nchi kwa mwarabu.

Sisi walipakodi tunapaswa kusikiliza yeyote anayetuambia ukweli. Hakuna mwenye mamlaka ya kutupangia tusikilize nini au tuseme nini.

Tusilazimishwe kuwa kama baadhi ya wajinga wachache mlioamua kujizima data na kuwaamini wapiga domo wa CCM
 
Stupid sufiani. kwa vile alikwenda nairobi, akiiba tusimseme? akili matope bado inasambaa
 
Basi yule Akida alijipigapiga kifua akasema Hakika Huyu Ni Mwana wa Mungu wa mbinguni!
 
Watu wanawasema mama zao waliobeba mimba miezi tisa,kwenda leba kuzaa na kulea na kusomesha sembuse rais.
Acha hizo Sufiani uchawa haupo hivyo.
 
Hoja za huyo Sufiani Papai ni za kitoto sana.Kwahiyo kwenda Wodini kumuangalia akikosea asimseme.Hii Nchi wa kulaumiwa ni Nyerere na Mazindiko yake ya kuwafanya Watanganyika Misukule.
 
Kwenye siasa hakuna urafiki na uadui wa kudumu, pengine baada ya kutoa hizo kashfa kwa mama yetu mpendwa, SSH, TAL alimpigia simu akamuomba radhi, wanasiasa wakikuambia kumekucha, toka nje ukathibitishe
 

Non Sense ,asingepigwa risasi hayo yangetokea?
 
Lissu hana kinyongo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…