Tundu Lissu: Nitakwenda Chato, nitamwambia Magufuli amka uone Rais Samia anavyofanya

Kama Tundu Lissu atakwenda Chato na kufika kwenye kaburi la JPM, kisha akapiga magoti nakutamka kwa kinywa chake kwa nia njema kabisa maneno haya"Mh. John Pombe Magufuli, nimekusamehe yote naomba nami unisamehe yote tuliyokoseana" kisha akaomba Baraka kupitia jina la JPM, atapata uungwaji mkono wa kiwango cha juu sana kuwahi kutokea.

*Zaidi ya 95% ya Magufulists kutoka CCM na nje ya CCM watamuunga mkono kwenye harakati zake zote na atapata mafanikio makubwa sana.
 
Ndio maana mnapewa kofia na tisheti mnaiba kura kwa ajili ya ccm, wakimu hamnazo kabisa..
Ukilipa mishahara au kusalimia nchi ndio uuze nchi?
Kikubwa hatulali njaa bas mshahara unatosha mkuu....Kwa mshahara wangu na ombaomba mtaani wanaiona sikuπŸ™
 
Wamejaribu upepo wa utanganyika na uzanzibari wameshindwa, wamejaribu upepo wa bandari wameshindwa, sasa wanaona hebu wajaribu upepo wa marehemu; duh mambo ni mengi muda ni mchache[emoji23]

Kote huko wakijaribu mama yuko very calm ..wananchi wanatumika vibaya kisiasa bila wao kujua nia yao hasa ikoje .ila ukiona kwa umakin utajua kuna chama hakitaki amani tz kinataman tuwe kama sudan ili wao pia wanufaike kimadaraka akat nchi ikiwa kwenye machafuko
 
Naina majizi mnafarijiana.
Mtapelekewa moto hadi mchoke
 
Kweli Lissu kama mtu aliyehai anawajibu wa kutubu hasa vibe aliloonesha kwenye msiba wa JPM. Kisha hata Mimi nitamuunga mkono.
 
Naina majizi mnafarijiana.
Mtapelekewa moto hadi mchoke

Cna chama mkuu siasa ni unafki mtupu ila wew kama una kadi ya chadema bhc endelea kua na imani yako ila jua maendeleo ya nchi hayaletwi na chama
 
Nilikua nasema kila siku Lisu hajui anashambuliwa na nani? Kwa kadili nilivyoona Mimi alishambuliwa na makundi mawili, kundi la Kwanza ni wafitini wa JPM ili kumpaka matope ionekane amemshambulia ili kumnyamazisha. Kundi la pili ni maadui zake yeye mwenyewe Lisu ambalo lingetumia ukosoaji wa Lisu Kwa JPM ionekane ni JPM aliyetekeleza azma Ile. Sasa Kwa bahati mbaya siasa ni mchezo wa propaganda mpaka uje kugundua muda unakua ushaenda.
Mfano Mzee Dr. Salim Ahmed Salim mwaka 2005 alibebeshwa dhambi ya kumuua Karume na chama chake cha Hizbu, wakati akijitahidi kujisafisha wenzake wakawa wanapiga kampeni. Hata aliposema wakati Karume anauwawa hakuwepo nchini bado walisema kwamba vijana wake pia wangeweza kupokea maagizo yake yeye akiwa mbali.
 
Mmmh
Wanasiasa aisee.

Mungu atusamehe kwa kweli
 
Huyu ndio mwanasiasa na mwanaharakati wa kweli kabisa Tundu Antipas Lisu

Niko hapa kwa Ras Mtimanyongo ananichorea picha za hawa Mashujaa Magufuli na Tundu Lisu tukititumia ile picha waliyopiga pamoja msibani kwa dada yake Lisu

Nitaibandika pale Maskani Ukwamani

Nawatakia Sabato Njema πŸ˜„
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…