Hivi waliomteka Ulimboka vipi? Kesi iliishia wapi? Vipi ile issue ya mabomu kwenye mkutano wa Chadema kuua na kujeruhi?

Vipi Alphonce Mawazo? Vipi Kubenea kumwagiwa tindikali? Vipi mwandishi Kubanda kutekwa na kutobolewa jicho! Kama issue ni kurudisha imani sidhani inapaswa kuanzia kwa Sabaya!
 
Safi sana Lissu, mtetezi mbobezi wa Katiba na Sheria zetu kwamba ni lazima tuziheshimu kama nembo kuu (identify) ya civilization.
 
Ifike muda, Tundu Lissu nae ajue kuna muda wa kuongea na muda wa kukaa kimya!

Sympathy kwa jitu aina ya Sabaya inatoka wapi?

Dawa ya wahuni ni kudeal nao kihuni.
Sabaya anapaswa kukamatwa na kuswekwa rumande kama alivyowasweka watu wengine.
 
Hapo Tundu Lisu ameongea kama wakili mbobezi!
Ni kweli, Lissu kwa mara zote amekuwa upande wa HAKI - he is made to be that way, na nafikiri hii ndiyo inayomponza wachache wasiotaKa haki Humchukia na hata kutaka kumdhuru.
 
Sabaya ni jambazi aliyeluwa na mamlaka. Alitumia madaraka yake kujinufaisha yeye na kuwadhulumu pamoja na kuwaumiza watu wengine. Malalamiko juu ya vitendo vyake ni mengi sana. Msianze kumwonea huruma.

Acha apambane na mkono wa sheria.
 
Enzi za JK ilikuwa kiboko mtu anang'olewa kucha bila ganzi?
 
Sabaya ni jambazi aliyeluwa na mamlaka. Alitumia madaraka yake kujinufaisha yeye na kuwadhulumu pamoja na kuwaumiza watu wengine. Malalamiko juu ya vitendo vyake ni mengi sana. Msianze kumwonea huruma.

Acha apambane na mkono wa sheria.
sawa na wengine nao wamfuate, hakua kiongoz pekee aliokuwa anafanya hayo
 
To be honest tuanze na mama mwenyewe mana ndo alikuwa overall command Kando ya Jiwe
 
Nafikiri Mfukua makaburi alipoanza kufukua makaburi, kaburi lasabaya lilikuwa la kwanza. Tusubiri tuone ni kaburi lipi litafuata.
 
Kweli kabisa wanamuonea tu dogo,sababu anatoka Jumbo la Mbowe akina bashite wamefanya umafia huo wa Sabaya wa kitoto kabisa.
 
Ni kazi bure kumtetea muovu sabaya,acheni sheria ifate mkondo
 
Ni kazi bure kumtetea muovu sabaya,acheni sheria ifate mkondo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…