Tundu Lissu: Ole Sabaya atendewe haki
Hivi waliomteka Ulimboka vipi? Kesi iliishia wapi? Vipi ile issue ya mabomu kwenye mkutano wa Chadema kuua na kujeruhi?

Vipi Alphonce Mawazo? Vipi Kubenea kumwagiwa tindikali? Vipi mwandishi Kubanda kutekwa na kutobolewa jicho! Kama issue ni kurudisha imani sidhani inapaswa kuanzia kwa Sabaya!
 
Safi sana Lissu, mtetezi mbobezi wa Katiba na Sheria zetu kwamba ni lazima tuziheshimu kama nembo kuu (identify) ya civilization.
 
Ifike muda, Tundu Lissu nae ajue kuna muda wa kuongea na muda wa kukaa kimya!

Sympathy kwa jitu aina ya Sabaya inatoka wapi?

Dawa ya wahuni ni kudeal nao kihuni.
Sabaya anapaswa kukamatwa na kuswekwa rumande kama alivyowasweka watu wengine.
 
Sabaya ni jambazi aliyeluwa na mamlaka. Alitumia madaraka yake kujinufaisha yeye na kuwadhulumu pamoja na kuwaumiza watu wengine. Malalamiko juu ya vitendo vyake ni mengi sana. Msianze kumwonea huruma.

Acha apambane na mkono wa sheria.
 
Hivi waliomteka Ulimboka vipi? Kesi iliishia wapi? Vipi ile issue ya mabomu kwenye mkutano wa Chadema kuua na kujeruhi?

Vipi Alphonce Mawazo? Vipi Kubenea kumwagiwa tindikali? Vipi mwandishi Kubanda kutekwa na kutobolewa jicho! Kama issue ni kurudisha imani sidhani inapaswa kuanzia kwa Sabaya!
Enzi za JK ilikuwa kiboko mtu anang'olewa kucha bila ganzi?
 
Sabaya ni jambazi aliyeluwa na mamlaka. Alitumia madaraka yake kujinufaisha yeye na kuwadhulumu pamoja na kuwaumiza watu wengine. Malalamiko juu ya vitendo vyake ni mengi sana. Msianze kumwonea huruma.

Acha apambane na mkono wa sheria.
sawa na wengine nao wamfuate, hakua kiongoz pekee aliokuwa anafanya hayo
 
Hivi waliomteka Ulimboka vipi? Kesi iliishia wapi? Vipi ile issue ya mabomu kwenye mkutano wa Chadema kuua na kujeruhi?

Vipi Alphonce Mawazo? Vipi Kubenea kumwagiwa tindikali? Vipi mwandishi Kubanda kutekwa na kutobolewa jicho! Kama issue ni kurudisha imani sidhani inapaswa kuanzia kwa Sabaya!
To be honest tuanze na mama mwenyewe mana ndo alikuwa overall command Kando ya Jiwe
 
Nafikiri Mfukua makaburi alipoanza kufukua makaburi, kaburi lasabaya lilikuwa la kwanza. Tusubiri tuone ni kaburi lipi litafuata.
 
Kweli kabisa wanamuonea tu dogo,sababu anatoka Jumbo la Mbowe akina bashite wamefanya umafia huo wa Sabaya wa kitoto kabisa.
 
Kama ni vitendo vya ukiukwaji wa sheria na haki za binadamu kwa utawala uliopita wa Mh. Sana mwendazake ulifanywa na viongozi wengi vijana, vijana wengi walioteuliwa walijiona miungu watu wakitaka kuabudiwa na kufanya vurugu za kila aina, hata Sabaya alikuwa na Ma "role model" wake aliokuwa akiwaiga kudhulumu, kupora na kuonea watu.

Sasa maoni yangu asigeuzwe yeye kama mbuzi wa kafara kama utawala huu wa mama umeamua kujikita kufuta watu machozi basi ikubali kufanya uchunguzi kwa viongozi wote wanaotajwatajwa na raia kukiuka haki za binadamu ktk utawala uliopita.

Naamini kuna viongozi wengi walikuwa na mabaya zaidi ya haya tunayomuandama nayo Sabaya, Mamlaka husika kama ni Takukuru au Ofisi ya DPP, au Polisi anzisheni uchunguzi dhidi ya viongozi wengine.
Ni kazi bure kumtetea muovu sabaya,acheni sheria ifate mkondo
 
Back
Top Bottom