Tundu Lissu: Ole Sabaya atendewe haki
Wakati mwingine mtu hushikiliwa kwa usalama wake kutegemea na unyama aliowafanyia watu.
 
Lissu anachokitaka Sabaya atolewe hadharani apandishwe Kortini kila mtu aone.
Unajua Sabaya alikuwa anatakeleza Matakwa ya Jiwe, sasa usishangae Jamaa wakamalizana nae Kimya Kimya katika Muendelezo wa Kulinda Legacy ya Meko
Wewe ndo umeijua lugha ya Lissu.
 
Haiitaji kumfahamu mtu personally kujua tabia zake hasa hawa public figures ambao sehemu kubwa ya vitu wanavyofanya kila siku vinawekwa hadharani,hivi tunapofanya uchaguzi wa viongozi huwa tunawapima kwa kuwajua personally?....
Vipi kuhusu Mdee, Dk. Slaa? ulitegemea watafanya hayo wanayofanya? Wameshawahi kupigwa na kuvunjwa viungo vyao vya mwili, wako wapi leo? Usimtumainie sana mwanadamu mzee
 
Naweza kuwa raisi, lakini hapa namzungumzia mtu ambaye tayari alishakuwa mgombea uraisi na uwezekano wa kuupata upo karibu kwakuwa anaungwa mkono na watu wengi
Hakuna kitu kama hicho vijana tubadirikine tutumie nguvu na akili zetu kujipromote.
 
Huyo ndiye Tundu Antipasi Lissu tunayemjua. Daima husimama upande wa utawala wa sheria bila kujali ni nani anayehusika.
 
Hapo Tundu Lisu ameongea kama wakili mbobezi!
TAL ni mtetezi wa haki za binadamu wa siku nyingi bila kujali nani anayehusika. Nina imani hata Mwendazake angeonewa kinyume na sheria bado TAL angesimama upande wa haki.
 
Sabaya analipwa kilekile alichokitenda. Si kwamba anaonewa ama sheria inakiukwa bali karma inatenda haki yake. Ni sheria ileile ambayo alikandamiza nayo watesi wake naye imerudi kwake. Tuliandika mara nyingi humu "unachokitenda ndicho utatendewa walitia pamba masikioni wakidhani wataishi katika ufalme milele!"
 
TAL ni mtetezi wa haki za binadamu wa siku nyingi bila kujali nani anayehusika. Nina imani hata Mwendazake angeonewa kinyume na sheria bado TAL angesimama upande wa haki.
Hakuna haki kwa Sabaya hata kidogo
 
Lile jangili unapeleka mahakamani kufanya nini?
Ndiyo kazi ya msingi ya mahakama kushughulika na majangiri, majambazi na majizi ya aina mbalimbali. Ila linakuwa jizi baada tu ya kuthibitishwa na mahakama. Kabla ya hapo ni mtuhumiwa tu na hana kosa.
 
Ndiyo kazi ya msingi ya mahakama kushughulika na majangiri, majambazi na majizi ya aina mbalimbali. Ila linakuwa jizi baada tu ya kuthibitishwa na mahakama. Kabla ya hapo ni mtuhumiwa tu na hana kosa.
Sawa mkuu
 
Metoomovement ya wanawake aliyowabaka itamzawadia sabaya tiketi ya kifungo cha maisha. Wanawake Tanzania oyee.
 
Ifike muda, Tundu Lissu nae ajue kuna muda wa kuongea na muda wa kukaa kimya!

Sympathy kwa jitu aina ya Sabaya inatoka wapi?

Dawa ya wahuni ni kudeal nao kihuni.
Tukiruhusu haya kwa watesi wetu, itakuwa ni taswira yetu kwamba hata sisi tukipewa nafasi pamoja na hulka zetu za ukosoaji tutakuwa kama wao
 
Ole sabaya apigwe risasi hadharani liwe fundisho kwa wengine
Lissu aungwe mkono.

img_1_1608300306188.jpg
 
Kama ni vitendo vya ukiukwaji wa sheria na haki za binadamu kwa utawala uliopita wa Mh. Sana mwendazake ulifanywa na viongozi wengi vijana, vijana wengi walioteuliwa walijiona miungu watu wakitaka kuabudiwa na kufanya vurugu za kila aina, hata Sabaya alikuwa na Ma "role model" wake aliokuwa akiwaiga kudhulumu, kupora na kuonea watu.

Sasa maoni yangu asigeuzwe yeye kama mbuzi wa kafara kama utawala huu wa mama umeamua kujikita kufuta watu machozi basi ikubali kufanya uchunguzi kwa viongozi wote wanaotajwatajwa na raia kukiuka haki za binadamu ktk utawala uliopita.

Naamini kuna viongozi wengi walikuwa na mabaya zaidi ya haya tunayomuandama nayo Sabaya, Mamlaka husika kama ni Takukuru au Ofisi ya DPP, au Polisi anzisheni uchunguzi dhidi ya viongozi wengine.
 
Ifike muda, Tundu Lissu nae ajue kuna muda wa kuongea na muda wa kukaa kimya!

Sympathy kwa jitu aina ya Sabaya inatoka wapi?

Dawa ya wahuni ni kudeal nao kihuni.
Una CHOYO, MAONO MAFUPI NA AKILI MBOVU, ila ninakubaliana na wewe Lissuu ni mnafiki na hata acha kuwa mnafiki kama wewe ulivyombainisha kwenye maoni yako.
 
Inategemea uliishi na kukaa vipi na watu

Ova
 
Japo sote tutakufa lakini kifo cha dikteta magufuli kiukweli mimi biniafsi nilifurai sana.
 
Back
Top Bottom