Lord denning
JF-Expert Member
- Jun 3, 2015
- 15,819
- 33,255
Nani kakwambia Tundu Lissu anafurahia kuona Tanzania inanyanyasika??? Tundu siku zote alishauri the best approach Ila nyie mkamdharau na maneno ya kebehi . Leo yamewakuta mnamsingizia Lissu tena??? Dunia ya ubabe iliashapitaga huko. Saivi ni akiliTL binafsi nilisikitika sana alipojeruhiwa. Ila sikubaliani Naye kabisa kwa jinsi anavyopenda kuona Tanzania inanyanyasika na kupata shida na mataifa ya nje. Yeye ananufaika na nini?
Hizo ni kesi zilizochochewa na Lisu mwenyewe na Zito alafu anakuja kudai natishiwa kuuwawa.
Amini unachotaka kuamini! Lakini ni Bora x 1000000 Magufuli kuliko mhuni huyo unayejiaminisha kwake👇Akiwa mjini Kahama, mgombea urais wa Jamhuriya muungano ndugu Tundu Antipas Lissu amesema kuwa makampuni makubwa matatu kwa mwaka huu pekee yameishtaki Tanzania kwenye mahakama za kimataifa.
"Si walisema hatutashtakiwa? Oooh Lissu alisema tutashtakiwa...mbona sasa hatujashtakiwa? Niwaambieni, kwa mwaka huu pekee makampuni matatu yametushtaki kwenye mahakama za kimataifa" Amesema Lissu bila kubainisha haya makampuni.
My take: Kutokana na Rais kubana uhuru wa upatikanaji habari na kutokana na mambo ya ajabu tunayoelezwa na serikali huku mengine yakiwa waziwazi ya uongo, naamini alichosema Lissu.
wew ni bure kabisa
Mkono Nimrod ameitetea tanesco sana mkuu
Hapana, burden of proof ni kwa mtoa shutuma siyo mshutumiwaji. Msingi wa innocent until proven guilty inatokana na msingi huohuo...burden of proof iko kwa serikali kuonyesha kwamba haishtakiwi.
Hapana, burden of proof ni kwa mtoa shutuma siyo mshutumiwaji. Msingi wa innocent until proven guilty inatokana na msingi huohuo.
Ikitokea tunampa nchi halafu kesi zinaendelea mahakamani kama wakili anayeziwakilisha anaenda tena kuibana Tz.
Sawa kabisa. Magufuli anaweza kujibu tu kuwa "Mpuuzeni Lissu ni mwongo, hatujashitakiwa popote;" hiyo siyo proof ila ni response tu. Lissu ndiye anayetakiwa kutoa proof kuwa kweli tumeshitakiwa kwenye mahakama ABC chini ya kesi namba xyz kwa makosa kadha kadha kadha...kaka hizi ni SIASA.
..ukishutumiwa ktk siasa unajibu tuhuma.
..usipojibu itaonekana umekubali hizo tuhuma.
Kwahiyo kakaa ulaya kuchochea kesi sio? Kwanini aje ndio tuanze kushitakiwa? Ila kawa na adabu safari hii hajayataja hayo makampuni wasije mdhuru tenaAkiwa mjini Kahama, mgombea urais wa Jamhuriya muungano ndugu Tundu Antipas Lissu amesema kuwa makampuni makubwa matatu kwa mwaka huu pekee yameishtaki Tanzania kwenye mahakama za kimataifa...
Kisukuma uso Ni Mavuzi, au ilikuwa unamaanisha nn?Kuiondoa CCM kwenye uso wa afrika mashariki.
Sawa kabisa. Magufuli anaweza kujibu tu kuwa "Mpuuzeni Lissu ni mwongo, hatujashitakiwa popote;" hiyo siyo proof ila ni response tu. Lissu ndiye anayetakiwa kutoa proof kuwa kweli tumeshitakiwa kwenye mahakama ABC chini ya kesi namba xyz kwa makosa kadha kadha kadha...
Ile ya case ya Toronto ilikuwa dismissed kuwa haina grounds; ndiyo maana haikuchukua muda mrefu kama ile ya GeutengGauteng sawa lakini sidhani kama kuna mrejesho wa yaliyotokea Toronto. I stand to be corrected kwenye hilo la Toronto.
Amandla...
Hawezi kujibu kwamba apuuzwe! Kwa vigezo gani?Sawa kabisa. Magufuli anaweza kujibu tu kuwa "Mpuuzeni Lissu ni mwongo, hatujashitakiwa popote;" hiyo siyo proof ila ni response tu. Lissu ndiye anayetakiwa kutoa proof kuwa kweli tumeshitakiwa kwenye mahakama ABC chini ya kesi namba xyz kwa makosa kadha kadha kadha.
Elewa pi kuwa kushtakiwa siyo tatizo kabisa, tatizo ni pale unaposhindwa kwenye kesi. Hata yule kaburu alitushitaki Gauteng na Toronto, lakini hakuambulia kitu, akaamuliwa kutulipa.
Hajaleta ushahidi; rejea ile notion ya burden of proof huko nyuma. Ukimtuhumu mtu yeyote, siyo jukumu lake kuprove kuwa shutuma zao ni za uwongo. Wewe unayetuhumu ndiwe unayetakiwa kuprove.Hawezi kujibu kwamba apuuzwe! Kwa vigezo gani?
Sawa kabisa. Magufuli anaweza kujibu tu kuwa "Mpuuzeni Lissu ni mwongo, hatujashitakiwa popote;" hiyo siyo proof ila ni response tu. Lissu ndiye anayetakiwa kutoa proof kuwa kweli tumeshitakiwa kwenye mahakama ABC chini ya kesi namba xyz kwa makosa kadha kadha kadha.
Elewa pi kuwa kushtakiwa siyo tatizo kabisa, tatizo ni pale unaposhindwa kwenye kesi. Hata yule kaburu alitushitaki Gauteng na Toronto, lakini hakuambulia kitu, akaamuliwa kutulipa.
"Hizo nyumba za kimara bomoa zote"Hapa hapa(uzwi)!!
Hapa hapa(uza)!!
Hiyo bullet ya kwanza bado ni speculation na conjectural tu. Hiyo bullet ya pili ni matokeo ya halo effect ya bias; kwamba kwa vila zamani alipatia, hata kama ilikuwa ni kwa kubashia tu, basi atakuwa anapatia kila kitu...kwanza, TL huwa habahatishi ktk mambo haya.
..nadhani unakumbuka alivyofichua kesi ya bombadier kukamatwa. serikali ilijaribu kukanusha na ikaishia kuaibika.
..pili, nakubaliana na wewe kwamba kushtakiwa siyo jambo baya. serikali isione aibu kushtakiwa.