kaida wa ngara
Member
- Jul 14, 2020
- 70
- 68
Maficiem huko mtaani wamekata net kixa jemedari lisu waambie watulie dawa iingie
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Raja hayo makampuni spewed majibu. Au kaa kimya tafuta hoja nyingineAkiwa mjini Kahama, mgombea urais wa Jamhuriya muungano ndugu Tundu Antipas Lissu amesema kuwa makampuni makubwa matatu kwa mwaka huu pekee yameishtaki Tanzania kwenye mahakama za kimataifa.
"Si walisema hatutashtakiwa? Oooh Lissu alisema tutashtakiwa...mbona sasa hatujashtakiwa? Niwaambieni, kwa mwaka huu pekee makampuni matatu yametushtaki kwenye mahakama za kimataifa" Amesema Lissu bila kubainisha haya makampuni.
My take: Kutokana na Rais kubana uhuru wa upatikanaji habari na kutokana na mambo ya ajabu tunayoelezwa na serikali huku mengine yakiwa waziwazi ya uongo, naamini alichosema Lissu.
Umasikini, Mardhi na Ujinga bado vinatuandama kwa kasi ya ajabu.Akiwa mjini Kahama, mgombea urais wa Jamhuriya muungano ndugu Tundu Antipas Lissu amesema kuwa makampuni makubwa matatu kwa mwaka huu pekee yameishtaki Tanzania kwenye mahakama za kimataifa.
"Si walisema hatutashtakiwa? Oooh Lissu alisema tutashtakiwa...mbona sasa hatujashtakiwa? Niwaambieni, kwa mwaka huu pekee makampuni matatu yametushtaki kwenye mahakama za kimataifa" Amesema Lissu bila kubainisha haya makampuni.
My take: Kutokana na Rais kubana uhuru wa upatikanaji habari na kutokana na mambo ya ajabu tunayoelezwa na serikali huku mengine yakiwa waziwazi ya uongo, naamini alichosema Lissu.
Kauli hizi zinatolewa na wanao tudhibitishia kuwa wamebobea kwa ujinga.Hizo ni kesi zilizochochewa na Lisu mwenyewe na Zito alafu anakuja kudai natishiwa kuuwawa.
Nani kakwambia Tundu Lissu anafurahia kuona Tanzania inanyanyasika??? Tundu siku zote alishauri the best approach Ila nyie mkamdharau na maneno ya kebehi . Leo yamewakuta mnamsingizia Lissu tena??? Dunia ya ubabe iliashapitaga huko. Saivi ni akili
Kusema kwamba anafurahia ni kumuonea.
Anachofanya TL ni kuwafichua wale waliosababisha nchi ikanyanyasika na kushtakiwa ktk mahakama za kimataifa.
Anayestahili lawama hapa ni watawala ambao walipitisha miswaada bungeni na kusaini mikataba inayotuumiza.
Aliwashauri serikali jinsi ya kuepukana na hizo kesi wao wakamwita msaliti, sidhani kama huko ndiyo kupenda nchi yako inyanyasike. Sasa kama haitoshi serikali inaleta sheria za ajabu na kulazimisha hata yale ambayo ni kinyume na katiba na hapo ndipo msaada wa nje husaidia kwani ni hao hao mabeberu ambao serikali huwasikiliza na sio wananchi wao wenyewe.
Kama serikali haisikii kusemwa au kushtakiwa nje ni haki. Serikali ikijirekebisha yeye na wananchi wenzake pamoja na wewe ndio wanufaika.
Domo kaya huyo hana jipya, mzushi na asiye na hoja. Watanzania wanataka kusikia namna ya kuboresha maisha yao, Serikali imefanya vema haoni cha kupotosha anaongelea vitu ambavyo hata hao wasikilizaji hawamwelewiAkiwa mjini Kahama, mgombea urais wa Jamhuriya muungano ndugu Tundu Antipas Lissu amesema kuwa makampuni makubwa matatu kwa mwaka huu pekee yameishtaki Tanzania kwenye mahakama za kimataifa.
"Si walisema hatutashtakiwa? Oooh Lissu alisema tutashtakiwa...mbona sasa hatujashtakiwa? Niwaambieni, kwa mwaka huu pekee makampuni matatu yametushtaki kwenye mahakama za kimataifa" Amesema Lissu bila kubainisha haya makampuni.
My take: Kutokana na Rais kubana uhuru wa upatikanaji habari na kutokana na mambo ya ajabu tunayoelezwa na serikali huku mengine yakiwa waziwazi ya uongo, naamini alichosema Lissu.
Akiwa mjini Kahama, mgombea urais wa Jamhuriya muungano ndugu Tundu Antipas Lissu amesema kuwa makampuni makubwa matatu kwa mwaka huu pekee yameishtaki Tanzania kwenye mahakama za kimataifa.
"Si walisema hatutashtakiwa? Oooh Lissu alisema tutashtakiwa...mbona sasa hatujashtakiwa? Niwaambieni, kwa mwaka huu pekee makampuni matatu yametushtaki kwenye mahakama za kimataifa" Amesema Lissu bila kubainisha haya makampuni.
My take: Kutokana na Rais kubana uhuru wa upatikanaji habari na kutokana na mambo ya ajabu tunayoelezwa na serikali huku mengine yakiwa waziwazi ya uongo, naamini alichosema Lissu.
JokaKuu, do you think TL can make a good president? Ile jazba yake inaogopesha sana
Yeye alisema acacia walikuwa sahihi kufanya wanachokifanya na tulikuwa tunatafuta matatizo kuwazuia kusafirisha makinikia. sasa ikawaje acacia wakakubali kutoa hizo usd 300m?
Mkuu kumbe hata hili hulijui? Mchezo ya Barrick na mwanae Acacia uliuelewa mkuu?Kesi gani? Take Acacia?
Kushitakiwa hizo ni sifa za ziada maana mh Lissu ndiye chaguo la watanzania woote kwa sasa.Kwa hiyo wapiga kura watampa kura lissu kwa kusema tumeshitakiwa?
Hv kwa nini mnatujumuisha watanzania wote as if tulikaa kikao tukakubaliana? Semea nafsi yako usitusemee hatujakutumaKushitakiwa hizo ni sifa za ziada maana mh Lissu ndiye chaguo la watanzania woote kwa sasa.
Hiyo mikataba ya kinyonyaji ilipitishwa na serikali ya chama cha upinzani?Utakuwa mjinga kuteswa eti ukiogopa kushitakiwa, ni bora ushitakiwe uwe huru kuliko kuheshim mikataba ya kinyonyaji. Kumbuka kama una akiri timamu, huyohuyo Lisu aliwahi kusema huko nyuma.
Kama watapata uraisi wa nchi hii watavunja mikataba yote ya madini kwa kuwa ni ya kinyonyaji. Kwa hiyo unadhani wangevunja kwa kutumia makalio?
Tumieni akiri na mropokaji wenu huyo anaye waona kama nyumbu msio jitambua kwenye mto wenye mamba. Na ataendelea kuwatumia kama toilet paper tu.