Uchaguzi 2020 Tundu Lissu: Rais anayekula rambirambi hatufai

Uzuri wewe kwa lisu ni kama mkia wa dagaa tu endelea kushauri
 
Watoke hadharani kwenda wapi sasa?

Subiri oktoba uone utoto wa Lisu ulipo
Huwezi kunielewa ninachosema. Mimi siongelei ushabiki naongelea ukweli.
Tunajua kuwa hata akishinda hatatangazwa ila kwa idadi ya kura za wananchi kuikataa serikali, naanimi watawala watajiuliza ni wapi wanakosea kama wanazo akili timamu.

Kuna watu wapo wanacheza na maisha ya watu alafu wanaona kawaida tu. Amini nakuambia hata kama kura haziamui, ila ni kipimo tosha cha serikali kujua vile inakubalika na wananchi wake
 
Kuvalisha kofia wavuta ganja kama Linex ni ilani?
 
Ndio sera za chadema?
 
Ni sawa but nakwambia sidhan kama ccm wenyewe walijipanga kusikia haya wanayosikia sasa
Kama yapi?

Wewe umesikia kipi kipya kutoka kwa Lisu ambacho hujawahi kusikia?
 
Kama yapi?

Wewe umesikia kipi kipya kutoka kwa Lisu ambacho hujawahi kusikia?
Magufuli hana Cheti kama mtoto wake wa kurithi Albert bashite.

Kumbe ndo maana alikuwa anamkingia kifua[emoji16][emoji16]
 
Serikali hujenga iyo miundombinu kutumia fungu gani la pesa? Ulishawai kuhoji fungu la pesa za mahafa awamu ya 5 zimetumika wapi?
 
Amesema kubadili matumizi ya pesa ya Rambirambi sio serikali kuwajengea nyumba
 
Lissu kwanini anaropokaropoka hovyo,anatakiwa ajuwe kuwa JPM bado ni Rais anapaswa kuchunga kaulizake.
Lisu ni mwanasheria anajua anachokifanya. Magufuli ni Mgombea wa Urais kupitia Chama Cha mapinduzi (CCM), Ndo maana sahv anavaa nguo za Chama
 
Wacha kutufanya majuha wewe! Mie nichangie pesa zangu kusaidia waliopatwa maafa ya tetemeko halafu atoke dikteta azielekeze kwingine!? 😳😳😳😳


Zilichangwa pesa za maafa ambazo kazi zake ni kuhakikisha kuwa mindombinu inakuwa imara na thabiti kwa ajili ya kuwalinda na kuimarisha eneo husika lilioathirika.
 
Uongo na Upotoshaji
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…