Uchaguzi 2020 Tundu Lissu: Rais Magufuli alitoa rushwa Kibiti Mil. 5 na akanunua jogoo laki moja wakati kashapitishwa kugombea Urais. Nitamuwekea pingamizi

Ongea Hana sifa kivipi? Tiririka. Halaf Mbona unahangaika hivyo? Wewe ndio NEC?
 
Kwa kuwa UN hawayaoni ya Libya ndio unajipa matumaini kuwa hawatayaona ya Tanzania.

UN wameyaona ya mtu kushambuliwa kwa risasi kwenye eneo la viongozi bila watuhumiwa kujulikana.
 
Mkuu mimi nakuona kama mtu uliyepoteza matumaini unawaya ways,n a wala.hujui kipi usimamie,Mara ICc,Mara UN na.mwisho mawkili wa Amsterdam kipi ni kipi?
Pata shule ya kuandika, unaidhalilisha JF
 
Pessimism
 
Kelele kama kelele nyingine
 
Lissu akiwa raisi atahakikisha anatawala miaka 50 ili ahakikishe CCM imekufa kabisa kama CUF, NCCR, maana hasira alizo nazo akishinda anafuta uchaguzi na katiba anabadilisha
Sio kweli. Lissu ni mpigania haki tangu ujana wake.
 
Lisu ni mpumbavu anaewadanya wapumbavu wenzie.

Na kwa vile chadema wengi ni bendera fuata upepo wanamuoma ni mjanja sana
Naona mmewekwa humu kulopoka tu, halafu mnapewa kodi zetu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…