Azarel
JF-Expert Member
- Aug 25, 2016
- 28,916
- 40,479
Hili umelitoa wapi? Kwenye katiba?Yapo maeneo ya majukumu yake ya kila siku hayamruhusu kuyafanya kwa kipindi hiki cha kuelekea uchaguzi mkuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hili umelitoa wapi? Kwenye katiba?Yapo maeneo ya majukumu yake ya kila siku hayamruhusu kuyafanya kwa kipindi hiki cha kuelekea uchaguzi mkuu
Dahl! Tumekosa hizi burdani siku nyingi sana.Mgombea Ni yupi Rais ni yupi hebu tufautisha.
Kuliko huyu tulienae?Huyu jamaa ikitokea akashindaTanzania tutakuwa na RAIS wa ajabu haijapata tokea!
tindo tumia akili, hivi alinunua jogoo? Au alipewa jogoo nae akampa yule mzee laki moja? Wapi kulikuwa na biashara ya mauziano?Jogoo anauzwa laki moja?
Uchaguzi huu utakuwa na malumbano ya kisheriaMlifanya kosa kubwa sana kushambulia Lissu kwa zile SILAHA ZA KIVITA, kuna siku mtawajibika tu kwa huo UHALIFU WA KIVITA.
Lini tuliomba poo, mmefanya siasa miaka 5 bado mnalalamika.Msije mkaomba poo lakini
Kwa tutumia policcm au jeshi?Msije mkaomba poo lakini
Kwa kuwa UN hawayaoni ya Libya ndio unajipa matumaini kuwa hawatayaona ya Tanzania.Mkuu hivi ni vituko,tangu mumshambulie mgombea wenu pale Dodoma naona kama akili zenu zimewaruka hivi,hamuishiwi ndoto,Mara Amsterdam Mara katibu mkuu UN, huyu katibu mkuu wa UN anaona ya Tanzania tu na ashindwe kuyaona ya Libya, Syria, Iraq nk.
Ndo maana tunasema akili zenu zote ni za kuambiwa,jiongezeni basi,
Pata shule ya kuandika, unaidhalilisha JFMkuu mimi nakuona kama mtu uliyepoteza matumaini unawaya ways,n a wala.hujui kipi usimamie,Mara ICc,Mara UN na.mwisho mawkili wa Amsterdam kipi ni kipi?
PessimismI kindly Advice our big brother TL to do not over expect... He should keep it moderate kwa afya yake...
Sina kinyongo na TL, ila ukiangalia siasa za bongo kwa jicho huru, probability ya TL kukwama ni kubwa sana kuliko kutoboa kwenye uchaguzi mkuu...
I wish him all the best though...
Nchi itaadopt katiba mpya, kama ya Warioba.Huyu jamaa ikitokea akashindaTanzania tutakuwa na RAIS wa ajabu haijapata tokea!
Ataileza mahakamaHivi kiti cha urais kipo wazi? Na alipewa jogoo kama rais akiwa ziarani au kama mgombea?
Sio kweli. Lissu ni mpigania haki tangu ujana wake.Lissu akiwa raisi atahakikisha anatawala miaka 50 ili ahakikishe CCM imekufa kabisa kama CUF, NCCR, maana hasira alizo nazo akishinda anafuta uchaguzi na katiba anabadilisha
Sio had uchaguz hadi Rais mwingine atakapoapishwa.Raisi ana vyeo viwili Cha Uraisi na ugombea
Majukumu ya Uraisi yanabaki pale pale aweza toa donation popote kwa yeyote...
Naona mmewekwa humu kulopoka tu, halafu mnapewa kodi zetu.Lisu ni mpumbavu anaewadanya wapumbavu wenzie.
Na kwa vile chadema wengi ni bendera fuata upepo wanamuoma ni mjanja sana