Uchaguzi 2020 Tundu Lissu: Rais Magufuli alitoa rushwa Kibiti Mil. 5 na akanunua jogoo laki moja wakati kashapitishwa kugombea Urais. Nitamuwekea pingamizi

Uchaguzi 2020 Tundu Lissu: Rais Magufuli alitoa rushwa Kibiti Mil. 5 na akanunua jogoo laki moja wakati kashapitishwa kugombea Urais. Nitamuwekea pingamizi

Ongea Hana sifa kivipi? Tiririka. Halaf Mbona unahangaika hivyo? Wewe ndio NEC?
 
Mkuu hivi ni vituko,tangu mumshambulie mgombea wenu pale Dodoma naona kama akili zenu zimewaruka hivi,hamuishiwi ndoto,Mara Amsterdam Mara katibu mkuu UN, huyu katibu mkuu wa UN anaona ya Tanzania tu na ashindwe kuyaona ya Libya, Syria, Iraq nk.

Ndo maana tunasema akili zenu zote ni za kuambiwa,jiongezeni basi,
Kwa kuwa UN hawayaoni ya Libya ndio unajipa matumaini kuwa hawatayaona ya Tanzania.

UN wameyaona ya mtu kushambuliwa kwa risasi kwenye eneo la viongozi bila watuhumiwa kujulikana.
 
Mkuu mimi nakuona kama mtu uliyepoteza matumaini unawaya ways,n a wala.hujui kipi usimamie,Mara ICc,Mara UN na.mwisho mawkili wa Amsterdam kipi ni kipi?
Pata shule ya kuandika, unaidhalilisha JF
 
I kindly Advice our big brother TL to do not over expect... He should keep it moderate kwa afya yake...

Sina kinyongo na TL, ila ukiangalia siasa za bongo kwa jicho huru, probability ya TL kukwama ni kubwa sana kuliko kutoboa kwenye uchaguzi mkuu...

I wish him all the best though...
Pessimism
 
Kelele kama kelele nyingine
 
Lissu akiwa raisi atahakikisha anatawala miaka 50 ili ahakikishe CCM imekufa kabisa kama CUF, NCCR, maana hasira alizo nazo akishinda anafuta uchaguzi na katiba anabadilisha
Sio kweli. Lissu ni mpigania haki tangu ujana wake.
 
Lisu ni mpumbavu anaewadanya wapumbavu wenzie.

Na kwa vile chadema wengi ni bendera fuata upepo wanamuoma ni mjanja sana
Naona mmewekwa humu kulopoka tu, halafu mnapewa kodi zetu.
 
Back
Top Bottom