Corruptiontindo tumia akili, hivi alinunua jogoo? Au alipewa jogoo nae akampa yule mzee laki moja? Wapi kulikuwa na biashara ya mauziano?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Corruptiontindo tumia akili, hivi alinunua jogoo? Au alipewa jogoo nae akampa yule mzee laki moja? Wapi kulikuwa na biashara ya mauziano?
Weka ushahidi halafu kajifunze kuandikaApo kwenye kurudisha uhusiano na nchi kimataifa ..,lijamaa ni dalali linataka kutimiza ahadi yake kwa mabasha zake mabeberu sina imani nae kabisa uyu mshamba alituaminisha kuwa Tanzania itashtakiwa Miga sijui tutakufa njaa iwapo tukiwagusa ACACIA kumbe lilikuwa lishavuta mpunga mnene then anakuja kutishia wanaume nyau chizi uyu..only vichaa vya Ufipa ndio atawatia shemere ila kwa watanzania walio wengi nasema tena walio wengi hawana hata mpango nae uyu mshamba mnyoa viduku.
Sheria za uchaguzi mkuu azichagui cheo chako cha sasa. Haiangalii kama wewe ni Rais, Mwenyekiti wa chama au Mbunge. Ukishapitishwa tu kuwa mgombea sheria zinakataza kutoa rushwa.Raisi ana vyeo viwili Cha Uraisi na ugombea
Majukumu ya Uraisi yanabaki pale pale aweza toa donation popote kwa yeyote...
Kwani kampeni zimeshaanza? Nyinyi kwenye vichwa vyenu ni zero brain! chochote anachosema Msaliti Lissu mnaingia kichwa kichwa tu.Kwa roho nzuri gani aliyonayo mpaka atoe laki moja, zaidi ya kampeni?
Umewezaje kusoma.Weka ushahidi halafu kajifunze kuandika
Wamekariri hawajui jamaa ni mropokaji wa karne ila ukiwa zwazwa la ufipa ndio ivo kujiongeza ni mwiko.Kwani kampeni zimeshaanza? Nyinyi kwenye vichwa vyenu ni zero brain! chochote anachosema Msaliti Lissu mnaingia kichwa kichwa tu.
Punguza jazba.Ukiongezea ni snitch
Inaingia akilini Sasa, miaka mitano ingekuwa mingi Sana kwa watawala pasipo kufungia mikutano ya siasaNaanza kuelewa kwa nini walimnyeshea mvua ya risasi.
Na hii miaka 5 wasingefungia mikutano ya hadhara kijani hali ingekuwa tete mnoo.
Unforgetable