Na mateso aliyopitiaBahati njema ya Lissu kuponyoka mysteriously kutoka kwenye mdomo wa kifo kumemfanya awe na moyo sugu. Kifo na uhai kwake havina tofauti.
Mbona anaogopa kurudi sasa?Bahati njema ya Lissu kuponyoka mysteriously kutoka kwenye mdomo wa kifo kumemfanya awe na moyo sugu. Kifo na uhai kwake havina tofauti.
Ukiwazacho wewe si kila mtu atakiwaza fanya yako kwa maisha yako na si kwa maisha ya mwenzio.Nani anataka Mikutano ya kisiasa, bado anaishi dunia ya 90s, watu wanarundikana kusikiliza uongo wa wanasiasa siku hizi vijana hawana huo muda wanatafuta mijihela tu pia Corona ipo kila Pembe.
Maamuzi yoyote yatakayotolewa, Samia atabaki Samia, hawezi kuwa Angel au Joyce.Aidha ametaka Rais aamue kuwa Angela Markel wa Tanzania au Joyce Banda wa Tanzania.
Mzigo anao Rais yeye Hana Cha kupoteza politically Wala vinginevyo.
Atake asitake lazma mama anywe hiki kikombe cha Lissu, leo mahakama isipomkuta na hatia Mh. Mbowe basi Lissu ndio ataonekana mshindi kwa hili..kiongozi mzuri unapaswa kuwa mtulivu na sio kupayuka payuka...mmeshazungumza, mlichozungumza mnajua wenyewe, unaanza kupayuka payuka kila kukicha matokeo yake mliozungumza wataona unawapa amri sasa au kuwaoverride..
Hamna! Cdm mmejazwa Chuki zidi ya Zitto, lakini ukweli alichokifanya Lisu kilishafanywa na Zitto kuhusu mbowe.zito hakunyoosha maneno kama lisu
Kweli kabisa hawalipendi hili lililotokea. Hata magazeti yao hayajaandika habari hizo leo wakati mengine ni habari kuuTAL ni mwanasheria mbobezi na mwenye ufahamu wa kutosha sana. Kuna ujumbe abajaribu kumpa mama maana huko kijanj hawayapendi haya
Mnataka kum-blackmail rais kwa rundo la masharti. Siri ya Mbowe kukaa jela muda wote rais ndiye anayeifahamu, humu ndani tunayo mipaka yetu ya ufahamu isiyoweza kulingana na kile anachokijua rais wa nchi.Tundu Lissu kwenye maria space ameulizwa anaamini Mhe. Rais atafanyia Kazi Yale waliyojadiliana? Kwa majibu yake ni kwamba, kipimo kinaanza na kesi ya Mbowe. Asipomtoa tarehe 18/02/2022 ni shauri yake. Picha amepata ila furaha iliyotokana na hiyo picha itaondoka Kwa zaidi ya 50%.
Wakimnyima pasipoti ataenda umoja wa Ulaya au Ubelgiji kuomba travel document arudi nyumba kama alivyoahidi.
Asiporuhusu mikutano yeye atarejea na kuendeleza siasa wakitaka wamkamate wampeleke gereza akaungane na Mbowe.
Kuhusu usalama wake amedai asipohakikishiwa usalama atarudi na litakalompata nature itaamua.
Kwa upande wa Katiba mpya amedai hakuna kurudi nyuma.
Kwa kuhitimisha; amesema wapo tayari kushirikiana na Rais kwenye mambo yanayoliponya Taifa. Ambayo categorically alimweleza Rais Jana.
Aidha ametaka Rais aamue kuwa Angela Markel wa Tanzania au Joyce Banda wa Tanzania.
Mzigo anao Rais yeye Hana Cha kupoteza politically Wala vinginevyo.
Rudi darasani ukajifunze kuandikaHuyu gaidi afungwe harahara kwasababu mate yamekuwa mengi kwa wanaharakati uchwara...ushahidi umenyooka hivyo alafu hawa watu wa space wanajitoa ufahamu...
Mualifu ni mualifu tu hata dunia ipige kelele hatashugulikiwa..iwefundisho kwa vizazi vijavyo.
Hii kichwa hapana aisee😀🙌✌Tundu Lissu kwenye maria space ameulizwa anaamini Mhe. Rais atafanyia Kazi Yale waliyojadiliana? Kwa majibu yake ni kwamba, kipimo kinaanza na kesi ya Mbowe. Asipomtoa tarehe 18/02/2022 ni shauri yake. Picha amepata ila furaha iliyotokana na hiyo picha itaondoka Kwa zaidi ya 50%.
Wakimnyima pasipoti ataenda umoja wa Ulaya au Ubelgiji kuomba travel document arudi nyumba kama alivyoahidi.
Asiporuhusu mikutano yeye atarejea na kuendeleza siasa wakitaka wamkamate wampeleke gereza akaungane na Mbowe.
Kuhusu usalama wake amedai asipohakikishiwa usalama atarudi na litakalompata nature itaamua.
Kwa upande wa Katiba mpya amedai hakuna kurudi nyuma.
Kwa kuhitimisha; amesema wapo tayari kushirikiana na Rais kwenye mambo yanayoliponya Taifa. Ambayo categorically alimweleza Rais Jana.
Aidha ametaka Rais aamue kuwa Angela Markel wa Tanzania au Joyce Banda wa Tanzania.
Mzigo anao Rais yeye Hana Cha kupoteza politically Wala vinginevyo.
Ila CCM kufanya mikutano na kuwarundika wanafunzi wa sekondari Ni sawaNani anataka Mikutano ya kisiasa, bado anaishi dunia ya 90s, watu wanarundikana kusikiliza uongo wa wanasiasa siku hizi vijana hawana huo muda wanatafuta mijihela tu pia Corona ipo kila Pembe.
You know nothingkesi hii ya kipumbavu isingepata nafasi hata ya kusikilizwa na mahakama
Kwa hiki anachoendelea kufanya Lissu hatuwezi kusema kwamba yale mazungumzo yake na rais ilikuwa ni kumpa heshima kama mkuu wa nchi, bali kinachoonesha hapa ni kama Lissu kampa maagizo rais ya nini afanye.Ukweli ndio huo Samia aamue kusuka au kunyoa, alichofanya Lissu kwenye mazungumzo yao kumuomba hiki na kile ni kumpa heshima kama mkuu wa nchi, kama akiikataa heshima aliyopewa Lissu atafanya anachostahili sababu ni haki yake hajavunja sheria yoyote.
Maana yake awe kiongozi bora kama Angela Markel au awe bomu kama Joyce Banda. Uamuzi ni wake.Aidha ametaka Rais aamue kuwa Angela Markel wa Tanzania au Joyce Banda wa Tanzania.
Mzigo anao Rais yeye Hana Cha kupoteza politically Wala vinginevyo.
Ni stori ndefu. Waweza kugoogle tukio la Malawi mwaka 2012 baada ya kifo cha Rais Bingu wa Mutharika akiwa madarakani wakati huo Joyce akiwa Makamu wa Rais.Joyce Banda alikuwaje?
Swala la katiba mpya sio OptionKwa hiki anachoendelea kufanya Lissu hatuwezi kusema kwamba yale mazungumzo yake na rais ilikuwa ni kumpa heshima kama mkuu wa nchi, bali kinachoonesha hapa ni kama Lissu kampa maagizo rais ya nini afanye.
Kwahiyo picha inayoendelea ni huyo mkuu wa nchi kufanya kama alivyoagizwa na Lissu au agome kutekeleza maelekezo ya Lissu.
Jamaa ana akili sn huyuTundu Lissu kwenye maria space ameulizwa anaamini Mhe. Rais atafanyia Kazi Yale waliyojadiliana? Kwa majibu yake ni kwamba, kipimo kinaanza na kesi ya Mbowe. Asipomtoa tarehe 18/02/2022 ni shauri yake. Picha amepata ila furaha iliyotokana na hiyo picha itaondoka Kwa zaidi ya 50%.
Wakimnyima pasipoti ataenda umoja wa Ulaya au Ubelgiji kuomba travel document arudi nyumba kama alivyoahidi.
Asiporuhusu mikutano yeye atarejea na kuendeleza siasa wakitaka wamkamate wampeleke gereza akaungane na Mbowe.
Kuhusu usalama wake amedai asipohakikishiwa usalama atarudi na litakalompata nature itaamua.
Kwa upande wa Katiba mpya amedai hakuna kurudi nyuma.
Kwa kuhitimisha; amesema wapo tayari kushirikiana na Rais kwenye mambo yanayoliponya Taifa. Ambayo categorically alimweleza Rais Jana.
Aidha ametaka Rais aamue kuwa Angela Markel wa Tanzania au Joyce Banda wa Tanzania.
Mzigo anao Rais yeye Hana Cha kupoteza politically Wala vinginevyo.
Alifanya mambo ya hovyo sn huyo mamaNi stori ndefu. Waweza kugoogle tukio la Malawi mwaka 2012 baada ya kifo cha Rais Bingu wa Mutharika akiwa madarakani wakati huo Joyce akiwa Makamu wa Rais.
Lissu kajenga point tupuSwala la katiba mpya sio Option
Alichokiongea Lissu kina ubaya gani?
Watu roho mbaya mmefura