Tundu Lissu: Rais Samia aamue kubaki na picha au kubakiza furaha Kwa Wananchi

Uliwahi kujiuliza ilikuwaje Mange Kimambi akasota kupata passport mpaka majuzi alipomuomba Rais? Punguzeni ujuaji na kuwashwa washwa..
Punguza jaziba. Kama kuwashwa ni wewe si hatupotezi kitu wengine. Kama u gekuwa na akili ungejiuliza kuwa siku zote alikuwa anatumia passport yako huyo mange kusafiri

Sent from my SM-G955U using JamiiForums mobile app
 
Nafkri lisuu anatatizo kwenye brain yake, au Kama si hvyo Basi atakuwa na shida kubwa ya kisaikolojia, na hlo ndo waswahili wanasema mdomo uliponza kichwa,
 
Chadema!
Mbona mnatulazimisha kile mnachokitaka tu?
 
Na ninakiona Tena kingine kwa maelezo yanayoendelea kutoka nikama vile lisuu hakukutana na RAIS amekutana na madam president, hvyo anamwamulisha vyovyote anavyo lisuu, ndo maana kunasehem nmesema hyo anatatzo la health Brian, au la kisaikolojia, kunakimoja lazima kinamhusu..
 
Sawa. ila usisahau akiachiwa pia mtashangilia na kumsifu Mama Samia. Mbowe akifungwa pia utashangilia
 
We jamaa kwani ni Serikali ya CCM ilyokuwepo kabla ama baada ya kumukamata?, hivi ni kitu gani kinachopelekea watu kuondoa ubongo kwenye vichwa vyenu? Rais Samia ameanza vizuri kutengeneza mashimo na mioyo ilivonjwa na watu miongoni mwenu.,mi nikimwona kama Rais asie na visasi na siasa za utulivu, Rais anayejua upinzani si uadui. Huyu ndy anafaa kuongoza nchi ambayo angalau wananchi wameanza kuamka na kujua haki zao. Ninyi mnataka avae koti lenye chawa wa utawala uliopita ili iweje? Mama Samia hongera kwa Mwanzo mwema unaoliponya Taifa na mipasuiko isyo na Tija. Usikubali genge la walafi likakurudsha nyuma usikubali!!
 
Kimsingi cdm wanaugonjwa wa kupenda Kama kipofu, bila kuchuja kipi kizr au kibaya, wapo Kama mfereji wa maji unafuata tu mkondo wa maji...
[emoji871]Lissu alipaswa kuitumia busara zaidi kwenye hili jambo,badala ya anavyofanya hivi sasa.

[emoji871]Yaani ndani ya masaa 48 tangu wamekutana na SSH.

[emoji871]Na Lissu anajua kabisa kwamba Mh Rais,anahitaji muda ili arudi nchini na kuona jinsi ya kushughulikia ombi lake.ikiwemo pia kupata ushauri zaidi.

[emoji871]Lissu amemaliza Media zote akibwabwaja ovyo.
Ni kama vile analazimisha agenda zake kufanyiwa kazi vile anavyotaka yeye bila hata kumsubiri mheshimiwa kurudi nyumbani.
 
Wewe ndio hutumii busara ndio maana unapigwa Kamba mtu mzima. Unawezaje kuamini story badala ya kupewa video, ujionee hayo mazungumzo mwenyewe kabisa na mood za wazungumzaji. Mnazungukwa bila kujijua.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…