Tundu Lissu: Rais wetu ni Rais wa Kifalme, hawajibiki kisheria mahali popote, anawajibika kwa Mungu wake tu

Anachomaanisha Lissu hapa ni kwamba mhimili mmoja haupaswi kupigia magoti mhimili mwingine; in case unahitaji PhD ili kujua alikuwa anamaanisha nini.
I'm capable of analyzing what he meant, Ndugai ni ng'ombe na ieleweke hivyo.
 
Ndiyo, hauwezi kuniambia niipuuze katiba ya nchi iliyo zao la mchakato wa waasisi wa taifa hili waliojitoa mhanga kwa jasho na damu kuitengeneza Tanzania, kwa maneno ya mtu mmoja tu mwenye kelele za ulalamishi. Waasisi wetu si tu kwamba walikuwa na akili tu, pia walikuwa na maono, na uthubutu, walijitesa, wakajitoa mhanga, wakajinyima, wakatupatia nchi hii na katiba yetu.

Kama Nyerere alionyesha concern kuhusu madaraka ya Rais, yeah! it was just a concern. Hakusema katiba ni mbaya au Rais hawezi kutumia madaraka yale kwa manufaa na maslahi mapana ya nchi.

Nimchukulie serious Lissu kwa kipi, kwa mfano? Kelele za ulalamishi?
 
Mfano halisi wa watu waliojitoa mhanga, nawe unaweza kuonyesha mfano wako.
Kujitoa mhanga si michezo ya kombolela.
 
Ni vyema angeanza na Mwenyekiti wake ndani ya chama..

Tanzania bado ina mfumo wa kijamaa, chama, mwenyekiti wa chama ndio vina nguvu kwenye utawala.. na mara nyingi mwenyekiti wa chama ndio anakuwa Rais wa nchi..

Ni hatari sana kwa sasa kubadili huu mfumo bila kufanya proper asseement, maana kunaweza kila siku kutokea migogoro na mihimili kubishana pamoja na kufanya chaguzi kila siku...

Tatizo la Tanzania kwa sasa ni fikra duni za wananchi wote akiwemo Lissu mwenyewe....Taifa linahitaji kwanza ukombozi wa fikra na jamii nzima au walau zaidi ya 60% iaendane na uhalisia wa sasa..
 
Tungeungana na Ndugai!
.
Lakini sasa ni too late subirini 2025
Unapoungana na Ndugai, Sirro na vijana wake wanaanza kufanya mazoezi, kabla hamjaanza kumnyima usingizi mama, mnatulizwa na wengine ambao ni viongozi wenu wanafunguliwa kesi za uhaini na ugaidi. Ninyi wadogo wadogo virungu na maji ya washawasha na mabomu ya machozi yanawatosha.
 
Una ka ugonjwa flan ka akili. Ila sio gono! Hivi nchi yetu ni ya mfumo wa kidemokrasia au hapana? Anzia hapo
 
Kwa hiyo ile kazi ya uanaharakati ya Lissu kwenye NGO yake ndiyo inampa kibali cha sisi tumsikilize kwenye mambo grand kabisa yanayohusu katiba ya nchi yetu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…