Tundu Lissu: Rais wetu ni Rais wa Kifalme, hawajibiki kisheria mahali popote, anawajibika kwa Mungu wake tu

Tundu Lissu: Rais wetu ni Rais wa Kifalme, hawajibiki kisheria mahali popote, anawajibika kwa Mungu wake tu

Anachomaanisha Lissu hapa ni kwamba mhimili mmoja haupaswi kupigia magoti mhimili mwingine; in case unahitaji PhD ili kujua alikuwa anamaanisha nini.
I'm capable of analyzing what he meant, Ndugai ni ng'ombe na ieleweke hivyo.
 
Ni upumbavu wa kiwango cha juu kuamini kwamba waliokutangulia walikuwa na akili kuliko wewe. Hata kama mambo mengine waliyofanya yalikuwa ni ya kijinga.

Nyerere aliwahi kukukiri kwamba hii katiba imempa mamlaka makubwa na siku inaweza ikatokea mtu akaitumia vibaya.

Ndio haya yanatokea sasa hivi.
Ndiyo, hauwezi kuniambia niipuuze katiba ya nchi iliyo zao la mchakato wa waasisi wa taifa hili waliojitoa mhanga kwa jasho na damu kuitengeneza Tanzania, kwa maneno ya mtu mmoja tu mwenye kelele za ulalamishi. Waasisi wetu si tu kwamba walikuwa na akili tu, pia walikuwa na maono, na uthubutu, walijitesa, wakajitoa mhanga, wakajinyima, wakatupatia nchi hii na katiba yetu.

Kama Nyerere alionyesha concern kuhusu madaraka ya Rais, yeah! it was just a concern. Hakusema katiba ni mbaya au Rais hawezi kutumia madaraka yale kwa manufaa na maslahi mapana ya nchi.

Nimchukulie serious Lissu kwa kipi, kwa mfano? Kelele za ulalamishi?
 
Mfano halisi wa watu waliojitoa mhanga, nawe unaweza kuonyesha mfano wako.
Kujitoa mhanga si michezo ya kombolela.
IMG_20220107_072023.jpg
 
Ni vyema angeanza na Mwenyekiti wake ndani ya chama..

Tanzania bado ina mfumo wa kijamaa, chama, mwenyekiti wa chama ndio vina nguvu kwenye utawala.. na mara nyingi mwenyekiti wa chama ndio anakuwa Rais wa nchi..

Ni hatari sana kwa sasa kubadili huu mfumo bila kufanya proper asseement, maana kunaweza kila siku kutokea migogoro na mihimili kubishana pamoja na kufanya chaguzi kila siku...

Tatizo la Tanzania kwa sasa ni fikra duni za wananchi wote akiwemo Lissu mwenyewe....Taifa linahitaji kwanza ukombozi wa fikra na jamii nzima au walau zaidi ya 60% iaendane na uhalisia wa sasa..
 
Tungeungana na Ndugai!
.
Lakini sasa ni too late subirini 2025
Unapoungana na Ndugai, Sirro na vijana wake wanaanza kufanya mazoezi, kabla hamjaanza kumnyima usingizi mama, mnatulizwa na wengine ambao ni viongozi wenu wanafunguliwa kesi za uhaini na ugaidi. Ninyi wadogo wadogo virungu na maji ya washawasha na mabomu ya machozi yanawatosha.
 
Lissu bana!

Kila nchi na utaratibu wake -- kuna nchi nyingine viongozi wao ni wafalme kabisa na wakifa watoto wao wanasimikwa kuwa wafalme. Na mambo ya nchi zao yanaenda.

Na sisi utaratibu wetu ni kwamba Rais wetu awe na mamlaka yale -- waasisi wa Tanzania waliowaza na kuisuka hiyo katiba iliyompa Rais hayo madaraka hawakuwa wajinga. Nachukia sana kuona watu ambao hawajaifanyia Tanzania kitu chochote cha maana zaidi ya ulalamishi na kutafuna kodi zetu kupitia ulalamishi tu na kuquestion wisdom ya waasisi wetu waliotukuka. Who is Lissu katika nchi ya mamilioni ya watanzania wanaoona ni sahihi Rais kuwa na madaraka aliyo nayo?

Awkward!
Una ka ugonjwa flan ka akili. Ila sio gono! Hivi nchi yetu ni ya mfumo wa kidemokrasia au hapana? Anzia hapo
 
We jamaa mchnago wako n wa kipuuzi sana na wala hauna mantiki yoyote, hivi una uhakika Lissu hajawai kufanya kitu chochote cha maana nchini, hivi unataka kusema Lissu hakuwai kupambana kuhusu maeneo yenye migodi kama Nyamongo ili watu wapate haki zao, Michango ya Lissu bungeni ilikua haina maana ktk nchi hii. Hivi kufanya mambo ya maana ni mpaka uunge mkono juhudi za serikali iliyoko madarakan.
Kwa hiyo ile kazi ya uanaharakati ya Lissu kwenye NGO yake ndiyo inampa kibali cha sisi tumsikilize kwenye mambo grand kabisa yanayohusu katiba ya nchi yetu?
 
Back
Top Bottom