Tundu Lissu: Rais wetu ni Rais wa Kifalme, hawajibiki kisheria mahali popote, anawajibika kwa Mungu wake tu

Kati yako na Lissu nani angalau kaifanyia Tanzania kitu.
 
Ndugai kaangukaje?

Lililoanguka ni bunge, maana Ndugai atakaa pembeni akiendelea kula maisha, sasa vipi kuhusu bunge?
Bunge lilishaanguka tangu enzi za JPM. Sasahivi ni vile imefanya hata wale wenye uwezo mdogo wa kujua mambo wajue. Tangu enzi za awamu ya 5 hapakua na bunge.

Hivi Covid 19 wangekuwepo bungeni kama kuna bunge nchi hii!??

Huyo Ndugai amekili hadharani kwamba kuna Sheria zilipitishwa hata hajui kama alikua anasinzia au vipi kwa sababu haamini kama zilipitishwa na bunge lake.

Tutafute mkate wa watoto wetu tu, hii nchi tuwaachie CCM waendelee kutafuna kodi zetu.
 
Akiwa mbunge wa kawaida ana kosa nini?

Ukishangilia yaliymkuta Ndugai ni kwamba una shangilia kunajisiwa kwa bunge
Kutoka namba 2 kwa taifa hadi kuwa sawa na kibajaji kama huoni tatizo basi wewe ndio tatizo.
 
Kwanza ni kwambie kitu kimoja ndugai kafukuzwa uspika hajajiuzulu.
Mbili serikali na bunge lao ni MOJA ndo maana Sheria kibao wanazotunga viongozi wanazipeleka bungeni kwa ndugai kuzipitisha hata Kama zinaumiza watu.
Sasa basi kitendo Cha ndugai kumsema hadharani Samia wakati lao moja HUO NI USALITI ndo maana Samia anamshangaa ndugai maana lao moja.
Kwani ndugai anashindwa kuongea na Samia hayo Mambo mpaka atoke kumfokea Samia hadharani?
Vipi Samia yeye anajitoa vipi?

Uchawa hautakusaidia
 
Walioandika katiba ya nchi yetu walikuwa watu wa ajabu sana.
 
Kwa hiyo Nyerere aliyesema Katiba inampa Rais nguvu kupitiliza alikosea?
Kama kila alichosema Nyerere mngekichukulia serious huyo huyo Lissu asingethubutu kumtolea Nyerere maneno ya kashfa. Au mmesahau? "Mwalimu alizoea kuishi kwa uongo na udanganyifu" - Tundu Lissu
 
Nonsense.
 
Mfano halisi wa watu waliojitoa mhanga, nawe unaweza kuonyesha mfano wako.
Kujitoa mhanga si michezo ya kombolela. View attachment 2071944
Pole zake lakini sidhani kama haya majeraha yanafit kwenye description ya waliojitoa mhanga kwa ajili ya nchi yetu. Kama anajihesabu hivyo ni kwa vita zake anazozijua mwenyewe.
 
Uhuru ni tangu 1962? Au ni Jamhuri...

Lissu ni mbabaishshaji na mpayukaji tu, wenye akili timamu wanampotezea tu
Kama akina nani, kwani wewe kwa akili yako unaweza ntajia kosa la mojakwamoja la Job
 
Una ka ugonjwa flan ka akili. Ila sio gono! Hivi nchi yetu ni ya mfumo wa kidemokrasia au hapana? Anzia hapo
Kwani katiba ya nchi yetu inasemaje? Soma katiba, na yote yaliyomo ndiyo mfumo wa nchi yetu ulivyo.
 
Kutoka namba 2 kwa taifa hadi kuwa sawa na kibajaji kama huoni tatizo basi wewe ndio tatizo.
Kwa hiyo kina lema, msigwa, mbowe, sugu nao wanateseka sana kukosa ubunge eti?
 
Kati yako na Lissu nani angalau kaifanyia Tanzania kitu.
Au kwa vile mi siyo maarufu?

Hata kama sijaifanyia chochote nchi yetu, bado hiyo haiondoi hoja yangu kwamba Lissu hawezi kuhesabika miongoni mwa watu walioifanya ya maana nchi yetu. Yapi?
 
[emoji817][emoji3581]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…