Puncler
JF-Expert Member
- Jul 17, 2017
- 1,386
- 1,888
Ni kutafukuri na si question mark.Uliweka emoji ambayo huwakilisha question mark,next time kuwa makini.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni kutafukuri na si question mark.Uliweka emoji ambayo huwakilisha question mark,next time kuwa makini.
Kati yako na Lissu nani angalau kaifanyia Tanzania kitu.Lissu bana!
Kila nchi na utaratibu wake -- kuna nchi nyingine viongozi wao ni wafalme kabisa na wakifa watoto wao wanasimikwa kuwa wafalme. Na mambo ya nchi zao yanaenda.
Na sisi utaratibu wetu ni kwamba Rais wetu awe na mamlaka yale -- waasisi wa Tanzania waliowaza na kuisuka hiyo katiba iliyompa Rais hayo madaraka hawakuwa wajinga. Nachukia sana kuona watu ambao hawajaifanyia Tanzania kitu chochote cha maana zaidi ya ulalamishi na kutafuna kodi zetu kupitia ulalamishi tu na kuquestion wisdom ya waasisi wetu waliotukuka. Who is Lissu katika nchi ya mamilioni ya watanzania wanaoona ni sahihi Rais kuwa na madaraka aliyo nayo?
Awkward!
Bunge lilishaanguka tangu enzi za JPM. Sasahivi ni vile imefanya hata wale wenye uwezo mdogo wa kujua mambo wajue. Tangu enzi za awamu ya 5 hapakua na bunge.Ndugai kaangukaje?
Lililoanguka ni bunge, maana Ndugai atakaa pembeni akiendelea kula maisha, sasa vipi kuhusu bunge?
Kutoka namba 2 kwa taifa hadi kuwa sawa na kibajaji kama huoni tatizo basi wewe ndio tatizo.Akiwa mbunge wa kawaida ana kosa nini?
Ukishangilia yaliymkuta Ndugai ni kwamba una shangilia kunajisiwa kwa bunge
Vipi Samia yeye anajitoa vipi?
Uchawa hautakusaidia
Utakuwa kwenye joto weweView attachment 2071951
Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
Andamana Kama unaona Samia kanajisi bunge,uvunjwe uti wa mgongo pimbi wwMbona Lema na genge lake wanashangilia Samia kunajisi bunge?
Hamtapata nafasi hiyo kamwe, mamlaka ya huyo "mfalme" hayaruhusu vitu hivyo.Tungeungana na Ndugai!
.
Lakini sasa ni too late subirini 2025
Kama kila alichosema Nyerere mngekichukulia serious huyo huyo Lissu asingethubutu kumtolea Nyerere maneno ya kashfa. Au mmesahau? "Mwalimu alizoea kuishi kwa uongo na udanganyifu" - Tundu LissuKwa hiyo Nyerere aliyesema Katiba inampa Rais nguvu kupitiliza alikosea?
Nonsense.Lissu bana!
Kila nchi na utaratibu wake -- kuna nchi nyingine viongozi wao ni wafalme kabisa na wakifa watoto wao wanasimikwa kuwa wafalme. Na mambo ya nchi zao yanaenda.
Na sisi utaratibu wetu ni kwamba Rais wetu awe na mamlaka yale -- waasisi wa Tanzania waliowaza na kuisuka hiyo katiba iliyompa Rais hayo madaraka hawakuwa wajinga. Nachukia sana kuona watu ambao hawajaifanyia Tanzania kitu chochote cha maana zaidi ya ulalamishi na kutafuna kodi zetu kupitia ulalamishi tu na kuquestion wisdom ya waasisi wetu waliotukuka. Who is Lissu katika nchi ya mamilioni ya watanzania wanaoona ni sahihi Rais kuwa na madaraka aliyo nayo?
Awkward!
Pole zake lakini sidhani kama haya majeraha yanafit kwenye description ya waliojitoa mhanga kwa ajili ya nchi yetu. Kama anajihesabu hivyo ni kwa vita zake anazozijua mwenyewe.Mfano halisi wa watu waliojitoa mhanga, nawe unaweza kuonyesha mfano wako.
Kujitoa mhanga si michezo ya kombolela. View attachment 2071944
Kama akina nani, kwani wewe kwa akili yako unaweza ntajia kosa la mojakwamoja la JobUhuru ni tangu 1962? Au ni Jamhuri...
Lissu ni mbabaishshaji na mpayukaji tu, wenye akili timamu wanampotezea tu
Kwani katiba ya nchi yetu inasemaje? Soma katiba, na yote yaliyomo ndiyo mfumo wa nchi yetu ulivyo.Una ka ugonjwa flan ka akili. Ila sio gono! Hivi nchi yetu ni ya mfumo wa kidemokrasia au hapana? Anzia hapo
twende kwa fact badala ya kubwatuka domo. unasikia spika kalazimishwa kujiuzuru na serikali.Uhuru ni tangu 1962? Au ni Jamhuri...
Lissu ni mbabaishshaji na mpayukaji tu, wenye akili timamu wanampotezea tu
Kwa hiyo kina lema, msigwa, mbowe, sugu nao wanateseka sana kukosa ubunge eti?Kutoka namba 2 kwa taifa hadi kuwa sawa na kibajaji kama huoni tatizo basi wewe ndio tatizo.
Au kwa vile mi siyo maarufu?Kati yako na Lissu nani angalau kaifanyia Tanzania kitu.
[emoji817][emoji3581]Bunge lilishaanguka tangu enzi za JPM. Sasahivi ni vile imefanya hata wale wenye uwezo mdogo wa kujua mambo wajue. Tangu enzi za awamu ya 5 hapakua na bunge.
Hivi Covid 19 wangekuwepo bungeni kama kuna bunge nchi hii!??
Huyo Ndugai amekili hadharani kwamba kuna Sheria zilipitishwa hata hajui kama alikua anasinzia au vipi kwa sababu haamini kama zilipitishwa na bunge lake.
Tutafute mkate wa watoto wetu tu, hii nchi tuwaachie CCM waendelee kutafuna kodi zetu.