Meneja Wa Makampuni
JF-Expert Member
- Jul 7, 2020
- 7,899
- 10,415
- Thread starter
-
- #21
Saa ya mwamuzi how mkuu. Je kama siku hiyo hakuunganisha na hiyo technology.Yanga Ina mashabiki walalamishi sana. Siku hizi mstari wa goli umeunganishwa na saa ya mwamuzi, yaani mpira ukivuka mstari saa ya mwamuzi inatetema yenyewe. Teknolojia hii inaitwa Goal line technology.
Sasa kwenye mpira wa Yanga saa ya mwamuzi haikutetema na wataalamu wa VAR hawakuona kama ni goli. Unataka refa aseme ni goli??
Sawaaa msomiMuch as the game of football will continue to be played by the human beings, the errors like the one noticed in the yesterday's match between Mamelody Sundows and Young Africans will continue to persist no matter what so there will be no avenue to perfection.
Lissu wapi na wapi na mamb ya mipira
Hili tukio lingewatokea team za waarabu uwanjani ungetokea mtitiKamati ya masaa 72 itawarudishia goli na refa atafungiwa!
Lisu: Mimi ni Yanga damu lakini kamwe siwezi Kuvaa JeziLissu wapi na wapi na mamb ya mipira
Ndio hivyo tena stori kumhusu marehemu zitakua nyingi!Hili tukio lingewatokea team za waarabu uwanjani ungetokea mtiti
Ova
Makagari yakoHakuna kesi hapo. Sheria mpya inasema mpira mzima unapaswa kuvuka mstari. Wa Yanga ulivuka robo 3 tu.
Jipangeni upya na msajili vizuri.
Hivi huyo Etwege yuko dunia ya wapi mpaka hakuona utabiri wa Lissu wa kushtakiwa mahakama ya usuluhishi wa migogoro ya kibiashara duniani ukitimia mpaka mzee Mruma wakati anahojiwa mwaka juzi na vijana wadogo alivyotia huruma huko mahakamani?Popomalism at work
Hivi huyo Etwege yuko dunia ya wapi mpaka hakuona utabiri wa Lissu wa kushtakiwa mahakama ya usuluhishi wa migogoro ya kibiashara duniani ukitimia mpaka mzee Mruma wakati anahojiwa mwaka juzi na vijana wadogo alivyotia huruma huko mahakamani?Popomalism at work
Goal line technology haitumiki kwenye mashindo ya CAF au sehemu yoyote Africa, kwasababu inahitajika gharama kubwa zaidi ya euro million tatu kufunga huo mfumo.Kuna wajinga wengi kama wewe wanafikiri VAR na goal line technology ni mfumo mmoja wakati kiuhalisia ni mifumo miwili tofauti, ndio maana ligi kubwa kama La liga haina goal line technology licha ya kuwa VAR kila uwanja.Yanga Ina mashabiki walalamishi sana. Siku hizi mstari wa goli umeunganishwa na saa ya mwamuzi, yaani mpira ukivuka mstari saa ya mwamuzi inatetema yenyewe. Teknolojia hii inaitwa Goal line technology.
Mpira mzima ulivuka. Check hapoHakuna kesi hapo. Sheria mpya inasema mpira mzima unapaswa kuvuka mstari. Wa Yanga ulivuka robo 3 tu.
Jipangeni upya na msajili vizuri.
Basi VAR imesema ule mpira haukuingia wote. Mtawafanya nn sasa? Mklieta za kitopolo mtashushwa daraja.Goal line technology haitumiki kwenye mashindo ya CAF au sehemu yoyote Africa, kwasababu inahitajika gharama kubwa zaidi ya euro million tatu kufunga huo mfumo.Kuna wajinga wengi kama wewe wanafikiri VAR na goal line technology ni mfumo mmoja wakati kiuhalisia ni mifumo miwili tofauti, ndio maana ligi kubwa kama La liga haina goal line technology licha ya kuwa VAR kila uwanja.
Picha ambazi ni vertical kutoka juu ya usawa wa goli ndio zitaondoa utataToa ushahidi kamili kuonyesha kuwa haukuvuka
Wataalamu wa VAR wamegoma. Lkn mshenzi wa kulaumiwa hapo ni huyo Mzize, kwann mpira wenye utata kama ule hakuusukumiza ndani tena baada ya golikipa kuanguka?Mpira mzima ulivuka. Check hapoView attachment 2955665
Uongooo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mkuu ulikua unaangalia Mpira kwenye radio , mpira umezama wote ule
Ulaya kwenyewe wamethibitisha ni goli halali, we ni nani hadi ukatae au zile goli 5-1 bado zinakutesa sana Kolowizards?Basi VAR imesema ule mpira haukuingia wote. Mtawafanya nn sasa? Mklieta za kitopolo mtashushwa daraja.
Yaani kuruka ruka kule ndiyo unataka Yanga imtoe Mamelodi? Aziza na Mzinzi (wakosa magoli wale) waende nusu failnali halafu Modiba, Shelulile, Nzwane na Allende wabaki?
Nilishaapa sikuiti tena Mbumbumbu ila napenda tu unavyowachachafya Utopolo bila ya kujua hauko sirias zaidi ya kufurahia tu wanavyotokwa mapovu ilihali ulikubali ni goli halali kwenye uzi wa Mamelody Sundowns VS Yanga SC [emoji847]Uongooo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Line goal TEC umeiona wapi mkuu maana haikuwepo na havijafungwa hivyo vifaa uwanjan na hatukuoneshwa kwa kuchora mstari sasa mwenzetu tuambie uliiona wapi?Waliesabu bila kujua sheria ya line goal theory. Kwa Sheria hii lile sio goli period
Hutaki kajinyonge.Huna akili