Haya nenda nusu fainali sasa.Ulaya kwenyewe wamethibitisha ni goli halali, we ni nani hadi ukatae au zile goli 5-1 bado zinakutesa sana Kolowizards?
Kenge hawakosekani kwenye msafara wa mamba, wahi sasa kuzimu kuchukua zawadi yako ya roho mbaya maana uchawi si kupaa tu na ungo. View attachment 2957610View attachment 2957611
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yaan napenda mnoo wanavyolalama, najisikia raha sana, ila lile ni goal halali, tena la mashindano kabisaa,Nilishaapa sikuiti tena Mbumbumbu ila napenda tu unavyowachachafya Utopolo bila ya kujua hauko sirias zaidi ya kufurahia tu wanavyotokwa mapovu ilihali ulikubali ni goli halali kwenye uzi wa Mamelody Sundowns VS Yanga SC [emoji847]
We jamaa wewe, sijui umefungiwa ndani ya box?! Haya angalia hapo bhasiLine goal TEC umeiona wapi mkuu maana haikuwepo na havijafungwa hivyo vifaa uwanjan na hatukuoneshwa kwa kuchora mstari sasa mwenzetu tuambie uliiona wapi?
Sio goal bhana kipenziiii, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Usiniangishe kipenzi cocastic as huijui sheria ya line goal. Tatizo waongo hatujazoea VAR na sheria zake[emoji23][emoji23]
Nimeweka video in my previous comment, jiridhishe
Ni goli lile we mnaziHakuna kesi hapo. Sheria mpya inasema mpira mzima unapaswa kuvuka mstari. Wa Yanga ulivuka robo 3 tu.
Jipangeni upya na msajili vizuri.
Mkuu pole sana angalia Tena hiyo video Kisha njoo Tena hapa, uje na majibu CAF Wana goal line technology? Na hiyo line wao wameotoa wapi au wameedit? Pia hicho kiwanja hayo matangazo ni ya CAF ? Pili hicho kiwanja hayo matangazo nyuma mbona yapo Mbali na goal kuliko uhalisia wa kiwanja kilichotumika kwenye huo mchezo ? Kwann hawakutuonesha siku ile kwa kuchora mstari kama wanavyochoraga mchezaji akiwa offside?We jamaa wewe, sijui umefungiwa ndani ya box?! Haya angalia hapo bhasi
View attachment 2957821