Nyie watu wa ajabu kweli mara hakuna atayempigia kura mara ataikosesha Chadema kura, sasa Chadema ikikosa kura si ndiyo furaha kwenu?Sawa, lkn utafungiwa kufanya kampeni na hakuna kitu utafanya, utaikosesha chadema kura inazozihitaji ili iweze hata kupata ruzuku zetu na kukulipia wewe na familia yako.
Low IQ!
PhD = Permanent head Damage.PhD za kununua mkuu
KabisaPhD = Permanent head Damage.
Kusomea sheria ni zaidi ya hapo, unaandika kama mtoto wa miaka 12, hili somo la sheria nina uhakika huwa hamlielewi, vinginevyo msingekuwa mnareason kama watoto, ...
UCHUNGUZI HURU UNAONYESHA KWAMBA MH TUNDU LISSU NDIYE MWANASHERIA BORA KABISA KUWAHI KUWEPO KWENYE ENEO LA MAZIWA MAKUU TANGU KUUMBWA KWA MBINGU NA ARDHIYupo Arusha anaongea na waandishi muda huu na huo ndiyo ujumbe wake kwa tume. Malalamiko hayapelekwi Chadema wala Twitter bali anapelekewa yeye.
Sasa ameitisha press conference ya Nini?! Ndege mjanja hunasa kwenye Tundu bovu...Yupo Arusha anaongea na waandishi muda huu na huo ndiyo ujumbe wake kwa tume. Malalamiko hayapelekwi Chadema wala Twitter bali anapelekewa yeye.
Sawa, lkn utafungiwa kufanya kampeni na hakuna kitu utafanya, utaikosesha chadema kura inazozihitaji ili iweze hata kupata ruzuku zetu na kukulipia wewe na familia yako.
Low IQ!
Sawa, lkn utafungiwa kufanya kampeni na hakuna kitu utafanya, utaikosesha chadema kura inazozihitaji ili iweze hata kupata ruzuku zetu na kukulipia wewe na familia yako.
Low IQ!
Then you become Banana Republic, like Zimbabwe!! CretinSawa, lkn utafungiwa kufanya kampeni na hakuna kitu utafanya, utaikosesha chadema kura inazozihitaji ili iweze hata kupata ruzuku zetu na kukulipia wewe na familia yako.
Low IQ!
Wewe wa High IQ umetusaidia nini mpaka sasa.....na kama akifungiwa si ndiyo furaha kwenu...acheni unafiki pambaneni na hali zenu..nyumba yenu inaungua moto huko.
Yupo Arusha anaongea na waandishi muda huu na huo ndiyo ujumbe wake kwa tume. Malalamiko hayapelekwi Chadema wala Twitter bali anapelekewa yeye.
Kwa maelezo yako unaonyesha kabisa hauipendi chadema kama unavyojidanganya na siajabu hata kura hautapiga, ...
Na akimaliza mi5 watasema uchaguzi mwingine hatoshindaWamebakia kusema hata akishinda hatangazwi..... akitangazwa watakuja kusema hamalizi miaka 5.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣Na akimaliza mi5 watasema uchaguzi mwingine hatoshinda
Embu jaribuni kufanya hilo kosa muone.Sawa, lkn utafungiwa kufanya kampeni na hakuna kitu utafanya, utaikosesha chadema kura inazozihitaji ili iweze hata kupata ruzuku zetu na kukulipia wewe na familia yako.
Low IQ!
Hayo Ni majibu murua ya kisheria kabisa , sass hao wanaopokea maagizo kutoka juu bila kufuata sheria na katiba watachemka . Tume uchaguzi , msajili wanafanya Mambo kwa kupokea maagizo kutoka juu na sio weledi .Yupo Arusha anaongea na waandishi muda huu na huo ndiyo ujumbe wake kwa tume. Malalamiko hayapelekwi Chadema wala Twitter bali anapelekewa yeye.
Wa kumwita TL low IQ hayupo kwa sasa Tanzania hii, ogopa mtu anamtungisha mtu ana majeshi yote na other resources.Sawa, lkn utafungiwa kufanya kampeni na hakuna kitu utafanya, utaikosesha chadema kura inazozihitaji ili iweze hata kupata ruzuku zetu na kukulipia wewe na familia yako.
Low IQ!