Kiongozi wa Tanzania hahitaji ruzuku kuanzisha michakato ya ukombozi Mkuu,tunatakiwa kuamua nchi yetu iendeshejwe kuelekea Uhuru,Haki na Maendeleo endelevu kwa watu wote.Twende na Lissu 2020.Sawa, lkn utafungiwa kufanya kampeni na hakuna kitu utafanya, utaikosesha chadema kura inazozihitaji ili iweze hata kupata ruzuku zetu na kukulipia wewe na familia yako.
Low IQ!