Uchaguzi 2020 Tundu Lissu: Sijaletewa malalamiko yoyote kuhusu chochote " As far as I'm concerned" sina chochote cha kufanya nje ya ratiba yangu

Uchaguzi 2020 Tundu Lissu: Sijaletewa malalamiko yoyote kuhusu chochote " As far as I'm concerned" sina chochote cha kufanya nje ya ratiba yangu

Sawa, lkn utafungiwa kufanya kampeni na hakuna kitu utafanya, utaikosesha chadema kura inazozihitaji ili iweze hata kupata ruzuku zetu na kukulipia wewe na familia yako.

Low IQ!
Kiongozi wa Tanzania hahitaji ruzuku kuanzisha michakato ya ukombozi Mkuu,tunatakiwa kuamua nchi yetu iendeshejwe kuelekea Uhuru,Haki na Maendeleo endelevu kwa watu wote.Twende na Lissu 2020.
 
Ndivyo wanavyota
[emoji316][emoji316][emoji316] View attachment 1585285
Ndivyo wanavyotaka Watanzania tufanye kwa ngoma isiyo na melody yoyote huku wakitegemea tunaweza kucheza dansi lao.Ukiwaona wanavyojibinua majukwaani unajiuliza"Je,Watanzania wanashida ya Ukosefu wa Matamasha?"Kina Diamond,Zuchu etc ni hitaji la Watanzania?Shida ngapi za Wananchi zinaweza kufumbuliwa kwa muziki mnene?NEMC/BASATA na TCRA wapo wapi?
 
Sawa, lkn utafungiwa kufanya kampeni na hakuna kitu utafanya, utaikosesha chadema kura inazozihitaji ili iweze hata kupata ruzuku zetu na kukulipia wewe na familia yako.

Low IQ!
Hivi kweli Lisu ni low IQ!! unafikiri kwa kutumia nn?
 
Back
Top Bottom