gspain
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 2,920
- 6,081
Nyie watu wa ajabu kweli mara hakuna atayempigia kura mara ataikosesha Chadema kura, sasa Chadema ikikosa kura si ndiyo furaha kwenu?Sawa, lkn utafungiwa kufanya kampeni na hakuna kitu utafanya, utaikosesha chadema kura inazozihitaji ili iweze hata kupata ruzuku zetu na kukulipia wewe na familia yako.
Low IQ!