Uchaguzi 2020 Tundu Lissu: Sijaletewa malalamiko yoyote kuhusu chochote " As far as I'm concerned" sina chochote cha kufanya nje ya ratiba yangu

Sawa, lkn utafungiwa kufanya kampeni na hakuna kitu utafanya, utaikosesha chadema kura inazozihitaji ili iweze hata kupata ruzuku zetu na kukulipia wewe na familia yako.

Low IQ!
Na asipofungiwa ni high IQ, sawa?
 
Sawa, lkn utafungiwa kufanya kampeni na hakuna kitu utafanya, utaikosesha chadema kura inazozihitaji ili iweze hata kupata ruzuku zetu na kukulipia wewe na familia yako.

Low IQ!
Atafungiwa kwa kukiuka kanuni za ccm sio?
 
Sawa, lkn utafungiwa kufanya kampeni na hakuna kitu utafanya, utaikosesha chadema kura inazozihitaji ili iweze hata kupata ruzuku zetu na kukulipia wewe na familia yako.

Low IQ!
Kura yangu kwa Lissu,lije jua ije mvua!
 
😁😁😁,hawa mataga kazi kweli kweli!
 
Sawa, lkn utafungiwa kufanya kampeni na hakuna kitu utafanya, utaikosesha chadema kura inazozihitaji ili iweze hata kupata ruzuku zetu na kukulipia wewe na familia yako.

Low IQ!
Low IQ ni yule anaiba rambirambi bila aibu licha ya cheo chake kikubwa nchini
 
Hapana!
Kutoka vyazo vya habari..inaonekana tume inawajia juu sababu wapo nje ya muda;
Ratiba inawabana ..kwanin wasiokoe muda kama tu kuna uwezekano wa kuwapata watu wa kuwahutubia hata muda ya asubuhi?
 
Sawa, lkn utafungiwa kufanya kampeni na hakuna kitu utafanya, utaikosesha chadema kura inazozihitaji ili iweze hata kupata ruzuku zetu na kukulipia wewe na familia yako.

Low IQ!
Kakudanganya Nani? Waambie wajaribu hizi siyo zama hizooo unazowaza waambie wajaribu kama n'nya haitagonga SañLG.
 
Piga spana Tundu hadi akili iwakae sawa. Mbuzi jike hawa ccm
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…