mbenge
JF-Expert Member
- May 15, 2019
- 4,864
- 10,483
Mkuu, PhD zilizopo CCM ni za utata mtupu. Ukizihoji tu hadharani, utatafutiwa kila aina ya njia ya kutaka kukupoteza.Halafu ofisi imejaa PhD!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu, PhD zilizopo CCM ni za utata mtupu. Ukizihoji tu hadharani, utatafutiwa kila aina ya njia ya kutaka kukupoteza.Halafu ofisi imejaa PhD!
Na asipofungiwa ni high IQ, sawa?Sawa, lkn utafungiwa kufanya kampeni na hakuna kitu utafanya, utaikosesha chadema kura inazozihitaji ili iweze hata kupata ruzuku zetu na kukulipia wewe na familia yako.
Low IQ!
Atafungiwa kwa kukiuka kanuni za ccm sio?Sawa, lkn utafungiwa kufanya kampeni na hakuna kitu utafanya, utaikosesha chadema kura inazozihitaji ili iweze hata kupata ruzuku zetu na kukulipia wewe na familia yako.
Low IQ!
Wamebanana pumziWabane pumzi hivyohivyo hawa Necccm
Hivi hii imekaajeHii inaitwa upper cut, unakula ya chembe kisa kidevu lazima ukae, nchi inaendeshwa kwa kanuni na sheria, siyo maagizo tu
Sasa wewe si unatakiwa ufurahie kufungiwa kwake ili iwe faida kwenu CCM mbona unaandika kwa masikitiko tena?Lissu lazima afungiwe tu. Halafu tutaona atafanya nn
Kura yangu kwa Lissu,lije jua ije mvua!Sawa, lkn utafungiwa kufanya kampeni na hakuna kitu utafanya, utaikosesha chadema kura inazozihitaji ili iweze hata kupata ruzuku zetu na kukulipia wewe na familia yako.
Low IQ!
😁😁😁,hawa mataga kazi kweli kweli!Hawatafanya hivyo nje ya utaratibu...!!
Yaani mnaanza na kurudi kulekule...
Ooh, huyo hatarudi Tanzania....!.
Ooh, huyo akifika JKINA tu anaelekea Segerea...!
Ooh, huyo Mbowe hatakubali agombee....!!
Ooh, huyo hatapewa fomu za ugombea na tume....!!
Ooh, anawekewa pingamizi, amevunja maadili ya viongozi wa umma...
Ooh, huyo hapitishwi na NEC ana kesi Mahakamani.....!!
Ooh, huyo hana pesa za kampeni, hatafika popote....!!
Sasa mmerekodi santuri nyingine kwa "producer", Dr Wilson Mahera Mkurugenzi wa uchaguzi - NEC yenye wimbo wenye beat za hovyo usio na radha kusikiliza masikioni wa...
"... Anakiuka ama kuvunja kanuni katika kampeni zake...."
Haya, ngoja tuone mwisho wenu. Obviously, ni uleule tu....KULEGEA..!!
Fuatilia hapoAsante mkuu dikteta2020 kwa taarifa hiyo....je kuna chombo chochote kiko hewani tumfuatilie?
Kuzungumza na Wanahabari inachukua masaa 12?Na leo hana mikutano?!
Mhh
Low IQ ni yule anaiba rambirambi bila aibu licha ya cheo chake kikubwa nchiniSawa, lkn utafungiwa kufanya kampeni na hakuna kitu utafanya, utaikosesha chadema kura inazozihitaji ili iweze hata kupata ruzuku zetu na kukulipia wewe na familia yako.
Low IQ!
Kakudanganya Nani? Waambie wajaribu hizi siyo zama hizooo unazowaza waambie wajaribu kama n'nya haitagonga SañLG.Sawa, lkn utafungiwa kufanya kampeni na hakuna kitu utafanya, utaikosesha chadema kura inazozihitaji ili iweze hata kupata ruzuku zetu na kukulipia wewe na familia yako.
Low IQ!
Anao huko Rombo (Kilimanjaro)...Na leo hana mikutano?!
Mhh
Piga spana Tundu hadi akili iwakae sawa. Mbuzi jike hawa ccmYupo Arusha anaongea na waandishi muda huu na huo ndiyo ujumbe wake kwa tume. Malalamiko hayapelekwi CHADEMA wala Twitter bali anapelekewa yeye.
Tundu Lissu amesema kuwa yeye ndiye aliyesaini hati ya maadili ya tume na lolote linalomhusu yeye kuhusu maadili ya uchaguzi ni lazima apelekewe yeye kwa maandishi.
Lissu amesema kuwa anasikia tu huko mitandaoni kuwa vyama vya NRA na CCM vimepeleka malalamiko dhidi yake kwa tume ya uchaguzi kuwa anakiuka maadili ya uchaguzi ambayo aliyasaini.
Hivyo basi amesema mpaka leo asubuhi hajapelekewa malalamiko yoyote kimaandishi yakimhusu kutoka tume hivyo anaendelea na ratiba yake kama ilivyopangwa na tume.
=======
Mgombea urais kupitia tiketi ya CHADEMA, Tundu Lissu amesema,
“Nikichaguliwa kuwa Rais nitaunda Serikali ya Chadema kwasababu ya Katiba inavyosema. Kama kutakuwa na uhitaji itabidi tubadilishe Katiba kwanza, na moja ya maazimio ya Chadema ikishinda Uchaguzi Mkuu ndani ya siku 100 tutaanzisha mchakato wa Katiba mpya.”Tundu Lissu
“Bob Amsterdam ni Mawakili wangu, wanashughulika na maswala yangu yote yakisheria ya ndani na nje ya Nchi. Kama Tume imeandikiwa barua basi Mawakili wangu wamekuwa wakitimiza wajibu wao, Kama nilivyosema uchaguzi mkuu hatutaki mchezo, na Chadema lazima tushinde uchaguzi huu.”TL