Sawa, lkn utafungiwa kufanya kampeni na hakuna kitu utafanya, utaikosesha chadema kura inazozihitaji ili iweze hata kupata ruzuku zetu na kukulipia wewe na familia yako.
Kiongozi wa Tanzania hahitaji ruzuku kuanzisha michakato ya ukombozi Mkuu,tunatakiwa kuamua nchi yetu iendeshejwe kuelekea Uhuru,Haki na Maendeleo endelevu kwa watu wote.Twende na Lissu 2020.
Ndivyo wanavyotaka Watanzania tufanye kwa ngoma isiyo na melody yoyote huku wakitegemea tunaweza kucheza dansi lao.Ukiwaona wanavyojibinua majukwaani unajiuliza"Je,Watanzania wanashida ya Ukosefu wa Matamasha?"Kina Diamond,Zuchu etc ni hitaji la Watanzania?Shida ngapi za Wananchi zinaweza kufumbuliwa kwa muziki mnene?NEMC/BASATA na TCRA wapo wapi?
Sawa, lkn utafungiwa kufanya kampeni na hakuna kitu utafanya, utaikosesha chadema kura inazozihitaji ili iweze hata kupata ruzuku zetu na kukulipia wewe na familia yako.