secret file
JF-Expert Member
- Sep 10, 2019
- 5,843
- 8,637
Awamu hii ndio nzuri zaidi manake Lissu amerudi toka kuzimu.Spana za Lissu zimewabana wanahaha kwa kila namna. Chakubanga kila uchwao anajitutumua kufanya press kupunguza moto maana kuuzima hawawezi ila kaangukia pua watu hatuelewi!
Hivi kwanini Lissu hakugombea yeye 2015 jamani? Sasa hivi ndio naamini, yalikuwa makosa sana kimkakati kumpa nafasi ya kugombea bwana yule. Huyu ndiye mpinzani sasa, huyu ndiye anayepaswa kupewa kura zetu za Urais.
Lissu amesema hawezi kwenda kwa habari za mitandaoni akipewa wito rasmi kwa barua atakwenda, hata tofauti hii huijui!Lissu anatapatapa barua itamfikia Kama ni mwanaume akatae kwenda aone kama hataondolewa kwenye orodha ya wagombea.
Asiende watamuwekea sumu kwenye vitiMheshimiwa Lissu wamemis semina yako"usikatae nenda ukawapige semina ya uchaguzi kabla ya October 28.ili utengeneze njia kwa tume zjazo "..wanashindwa kutumia njia ya kuomba ila wanahamu na madini yako!!
Hawakushindwa mkuu tatizo sababu za kumkata hazikuwepo. Labda useme wanajilaumu kwa kushindwa kumuua.Huyu bwana wanajilaumu kwa nini hawakumkata mapema!
Very good analysis.Kwa Mujibu wa Taarifa ya Dk. Wilson Mahera Tume ndiyo mlalamikaji na mlalamikiwa ni Tundu Lissu!
Sasa tujiulize,
1. Inawezekanaje Tume ilalamike, imuite inayemlalamikia na iamue kwa haki?
Tatizo nyie wa CCM hamfundishiki kwa sababu akili yenu ni ndogo sana mmekuwa tuned kumsikiliza mropokaji mwenzenu kutoka Chato ambaye miaka 5 ameshindikana kufundishika lugha muhimu kwake ambayo ni nyepesi mno hata chekechea wanaimudu muda mfupi tu wakianza darasa. Kuna Watanzania wengi sana walikwenda kusoma Vyuo Vikuu nchi za nje zinazofundisha kwa lugha zao lakini Wabongo wale wanajifunza lugha miezi 6 tu wanaanza masomo ya Chuo Kikuu na wanafunzi wenyeji.Lissu yupo sahihi na anatufundisha masuala mengi.
Akawekwe kitimotoWw fuka kweli
Ni kweli kabisa.tume lazima iiratibu kampen za wagombea.kama ni za kuleta taharuki zistopishwe mara moja
Inategemea aina ya kosa linalomkabili!Hivi hapo tume si nasikia kuna wanasheria?
Hayo yote hawakuyajua kabla mpaka waelekezwe?
Kile cha Mabibo Hostel mkuu.Hivi mgombea wetu CCM amesomea PhD chuo gani
Ahaaa sawa.Kile cha Mabibo Hostel mkuu.
Chadema ikahojiwe na CCM? Tokea lini CCM ikatoa haki kwa chadema?Mbona jamaa anapata moto. Si aende huko akahojiwe na watu wenye hekima zao.
Duuh! Huyu genius Lisu ataisumbua Sana hii tumeAkiwa mjini Nyamongo mgombea kiti cha urais kupitia cdm mh Lissu amesema kuwa hana mpango wa kwenda Dodoma kesho.
NEC wamemtaka mh Lissu kesho kwenda dodoma kujieleza mbele ya tume juu ya matamshi ya mh Lissu.
Tazama ujumbe wa mh Lissu aliyo wapatia watanzania juu ya wito huo wa NEC. View attachment 1583753
Sent using Jamii Forums mobile app