secret file
JF-Expert Member
- Sep 10, 2019
- 5,843
- 8,637
Awamu hii ndio nzuri zaidi manake Lissu amerudi toka kuzimu.Spana za Lissu zimewabana wanahaha kwa kila namna. Chakubanga kila uchwao anajitutumua kufanya press kupunguza moto maana kuuzima hawawezi ila kaangukia pua watu hatuelewi!
Hivi kwanini Lissu hakugombea yeye 2015 jamani? Sasa hivi ndio naamini, yalikuwa makosa sana kimkakati kumpa nafasi ya kugombea bwana yule. Huyu ndiye mpinzani sasa, huyu ndiye anayepaswa kupewa kura zetu za Urais.