Huyu Lissu atakuwa ana damu ya Kipemba. Otherwise nakuja kumtafutia mke mtoto wangu hapo kijijini kwa Lisu Singida . Mbegu hii ni kibokoHuyo ndiyo Lissu Mwamba kutoka kanda ya Kati. Mgombea Uraisi kwa tiketi ya Chadema.
Tume inaendana na ilani ya CCM, udanganyifu na kuiba kuraBado najiuliza, hivi tume walikuwa na haja ya kutangaza ile barua mitandaoni? Hii tume itatuharibia mambo mengi sana, toka wameengua wagombea wa upinzani kwa sababu za kizembe nimewapuuza..
Huyo mzee ambae hata kuongea hawezi, maneno yanashindwa kutoka mdomoni, inaonekana hata kiswahili hajui vizuri ndio wakumuhoji Lissu?.Barua itamfikia tu. Na nina uhakika akienda huko hatoweza kujibu maswali ya huyo mzee wa NEC. Maana anaonekana kuwa na hekima sana.
Barua itamfikia tu. Na nina uhakika akienda huko hatoweza kujibu maswali ya huyo mzee wa NEC. Maana anaonekana kuwa na hekima sana.
Magufuli amekiuka sheria nyingi mno za uchaguzi, aliitwa lini huko NEC uchwara?Wewe endelea kumpa kichwa tu. Yetu macho.
Hivi kweli jamaa anasemaga "Mungu oyee" au wanamuwekea maneno mdomoni? [emoji3]Mgombea wa CCM anapotumia lugha ya kikabila hadharani kipindi hiki cha kampeni, anapotoa hongo kwa wapigakura kwa kulazimisha barabara zianze kujengwa ktk eneo husika nje ya bajeti, anapotumia lugha za vitisho kwa wapiga kura wasichague upinzani, achilia mbali "mungu hoyeee" bado vikaragosi wake wa tume hawayaoni hayo.
Na sisi tutanatak aende akawape shuleAtapelekewa Leo asbh hii, kabla hajaanza kampeni zake kwani tarehe 29.09. Si bado au imepita ? .vijana wamelipwa Per diem ya siku 10, na ontrasit na food and refreshment ili kumpelekea hyo surmons mkononi. Kufanya kazi tume raha sana, mgombea yupo arusha unamfuata mwanza
Hata Membe mlikuwa mnamwambia hivi hivi,Ngoma imepata mchezaji, hiki chuma kinahitaji moto mkali kukiyeyusha.
Tatizo moto huo haupo
Membe Mzee wa tumtoe tusimtoeeee, hahaha hakika membe alikosa timing ya kuingia kwenye kinyang'anyiroHata Membe mlikuwa mnamwambia hivi hivi,
Leo yupo analia pekeake
Atawekewa hiyo clip yake na atapigwa maswali kutoka kwenye hiyo clip hadi atachangamyikiwa πππ.Huyo mzee ambae hata kuongea hawezi, maneno yanashindwa kutoka mdomoni, inaonekana hata kiswahili hajui vizuri ndio wakumuhoji Lissu?.
Kwani Lissu ni Membe? Humjui Lissu wewe.Hata Membe mlikuwa mnamwambia hivi hivi,
Leo yupo analia pekeake
Akipokea wito aendeMheshimiwa Lissu wamemis semina yako"usikatae nenda ukawapige semina ya uchaguzi kabla ya October 28.ili utengeneze njia kwa tume zjazo "..wanashindwa kutumia njia ya kuomba ila wanahamu na madini yako!!
Sent from my SM-G920F using JamiiForums mobile app
sana, kua lazima mambo yaende kisayansi, huwezi kuitwa kipuuzi tu uende nipe official letter nije na sio unaniita mitandaoni halafu ghafla unaanza kunifundisha kunadi sera na kipi cha kusema na kuwapangia watanzania cha kufanya, watanzania sio mamburula , japo wapo mamburula wachache wanaotetea mambo haya ya kijinga.Lissu yupo sahihi na anatufundisha masuala mengi.