Jasusi si mwepesi kama unavyomchukulia. Unaamini alienda ACT kuchukua nchi? Kuna kazi anafanya na mpaka sasa anaifanya vizuri tu.Membe Mzee wa tumtoe tusimtoeeee, hahaha hakika membe alikosa timing ya kuingia kwenye kinyang'anyiro
Mwambie hata huko ndani ya ccm wapo chadema,na ndio wanatuvujishia habari zao huku.lisu ni habari nyingine.Hhhhhh nyinyi si Kama hammo isipokua wengi wa Malumumba washakubali matokeo
Ndio watoto walio zaliwa na rushwa watakuja kuwa na mwisho mbaya sana kama sio yeye ata mwanae!!Kumbe wewe umewazidi Tume ??
Sio chadema tu na wapenda haki watu wenye akili zilizo huru ambazo sio tegemezi wa Rushwa! Wale tegemezi kwa mtu yoyote!JF IMEJAA MICHADEMA HADI KERO NA LOG OUT JF MPKA TAR 29
Ni mbolea nzuri sana Mkuu kwenye kilimo..October 28 usisahau kumpa kura ya ndio Dr. JPM akaimalizie kazi ya kuleta maendeleo jitokeze wewe na familia yako.Mavi ya kuku
Acha kulialia wewe.Sio chadema tu na wapenda haki watu wenye akili zilizo huru ambazo sio tegemezi wa Rushwa ! Wale tegemezi kwa mtu yoyote !
Na hii ndio picha nzima ya nchi kuwa wala rushwa au tegemezi wa rushwa ni wa chache sana na mwisho wao upo!
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] acheni kulialia battle ndio inapamba moto, labda mniambie mlikuwa mnatania kabisa mnafikiri Chadema watashinda? Kwamba haumjui CCM ndio qwiji wa siasa za Tanzania chama chenye mikakati kuliko vyama vyote Africa?Watoto mlio zaliwa kwa rushwa mna matatizo kwelikweli akili zenu ni dumavu sana
Sio kulia ndio ukweli Rushwa ni laana una laana maana ubongo wako sio huru tena na siku wewe au mzazi wako mkikosa rushwa mtapata shida sana hapa Duniani ata kama mmewekeza kwa rushwa bado laana yake ni endelevu vya rushwa huishia pabaya vya jasho huduma na hungaa muda wote maana jasho ni akili rushwa ni dhuluma na dhuluma huleta laana na ndio inayo kusumbua! We juwa sisi watu wenye akili huru tu na kujibu tu ila tunaona kama tu na mjibu mtu ambaye hajitambui!Acha kulialia wewe.
JPM 2020-2025
CCM USHINDI NI JADI
Kwa hiyo unataka maisha yasimame kwa sababu Kuna vyama vimesusia uchaguzi? Kikubwa tunachotaka ni uchaguzi ufanyike kwa Uhuru na haki Kisha maisha yaendelee Kama kawaida aliyeshinda kwa haki atatangazwa na aliyeshidwa anakubali kushindwa hiyo pia ni demokrasia Kama Kuna mtu hajaridhika Kuna vyombo vya kisheria vya kupeleka malalamiko lakini wananchi tunachotaka ni amani hii nchi ni yetu sote amani ikivurugwa hatuna pa kukimbiliaTume hii iliposhirikiana na CCM kuvuruga uchaguzi wa serikali za mitaa na hata kupelekea m/ kiti wa CCM taifa kutamka hadharani kuwa hata kususia uchaguzi Ni moja ya demokrasia, wananchi walikaa kimya wakijua kuwa CCM wataifanya kuwa ni tabia yao kuiba kura...
🤣 🤣 🤣Tundu ananata na beat tu. Wito rasmi unatakiwa upelekwe ofisini kimaandishi, sio kwenye social media.Huyu bwana wanajilaumu kwa nini hawakumkata mapema!
Wajinga tu wote. Kinachotokea ni tofauti ns matarajio yao, lazima wapanick.Mgombea wa CCM anapotumia lugha ya kikabila hadharani kipindi hiki cha kampeni, anapotoa hongo kwa wapigakura kwa kulazimisha barabara zianze kujengwa ktk eneo husika nje ya bajeti, anapotumia lugha za vitisho kwa wapiga kura wasichague upinzani, achilia mbali "mungu hoyeee" bado vikaragosi wake wa tume hawayaoni hayo.
Wampe barua ya wito.. sio aende kijinga tuUjinga wako utakoma utakapomuona kesho baba yako kaitikia wito! Tatizo sio uoga, yeye aende kujua ni vipi kaitwa! Kwa werevu wake, huenda akawasaidia pia!
Katika katiba yetu ulishasikia kuwa matokeo ya urais yakisha tangazwa kuna uwezekano wa kuyahoji katika chombo chochote Cha kisheria? Anzia hapo kiongozi.Kwa hiyo unataka maisha yasimame kwa sababu Kuna vyama vimesusia uchaguzi? Kikubwa tunachotaka ni uchaguzi ufanyike kwa Uhuru na haki Kisha maisha yaendelee Kama kawaida aliyeshinda kwa haki atatangazwa na aliyeshidwa anakubali kushindwa hiyo pia ni demokrasia Kama Kuna mtu hajaridhika Kuna vyombo vya kisheria vya kupeleka malalamiko lakini wananchi tunachotaka ni amani hii nchi ni yetu sote amani ikivurugwa hatuna pa kukimbilia
Aliyeimba ile Singeli alikuwa anamaanisha sana. Tundu Lissu wapelekeeee...Tundu Lissu wapeleke mchaka mchaka [emoji23]
Mmekata moto, ni sawa na fuso lilomeza moto likipanda mlima,Mbona jamaa anapata moto. Si aende huko akahojiwe na watu wenye hekima zao.
Mnachokiona hapo ndicho kinawatia matumbo ya kuharaKaaa chip kasha anza kuwasha asubiri atapelekewa tuu wakiona uwo umhimu aache kujihami View attachment 1583148