Uchaguzi 2020 Tundu Lissu: Sijapokea wito kutoka Tume ya Uchaguzi. Sitarajii kuacha Kampeni kwa kuitikia wito kutoka mitandaoni

Uchaguzi 2020 Tundu Lissu: Sijapokea wito kutoka Tume ya Uchaguzi. Sitarajii kuacha Kampeni kwa kuitikia wito kutoka mitandaoni

Membe Mzee wa tumtoe tusimtoeeee, hahaha hakika membe alikosa timing ya kuingia kwenye kinyang'anyiro
Jasusi si mwepesi kama unavyomchukulia. Unaamini alienda ACT kuchukua nchi? Kuna kazi anafanya na mpaka sasa anaifanya vizuri tu.
 
JF IMEJAA MICHADEMA HADI KERO NA LOG OUT JF MPKA TAR 29
Sio chadema tu na wapenda haki watu wenye akili zilizo huru ambazo sio tegemezi wa Rushwa! Wale tegemezi kwa mtu yoyote!

Na hii ndio picha nzima ya nchi kuwa wala rushwa au tegemezi wa rushwa ni wa chache sana na mwisho wao upo!
 
Mavi ya kuku
Ni mbolea nzuri sana Mkuu kwenye kilimo..October 28 usisahau kumpa kura ya ndio Dr. JPM akaimalizie kazi ya kuleta maendeleo jitokeze wewe na familia yako.

JPM 2020-2025
CCM USHINDI NI JADI
 
Sio chadema tu na wapenda haki watu wenye akili zilizo huru ambazo sio tegemezi wa Rushwa ! Wale tegemezi kwa mtu yoyote !
Na hii ndio picha nzima ya nchi kuwa wala rushwa au tegemezi wa rushwa ni wa chache sana na mwisho wao upo!
Acha kulialia wewe.

JPM 2020-2025
CCM USHINDI NI JADI
 
Watoto mlio zaliwa kwa rushwa mna matatizo kwelikweli akili zenu ni dumavu sana
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] acheni kulialia battle ndio inapamba moto, labda mniambie mlikuwa mnatania kabisa mnafikiri Chadema watashinda? Kwamba haumjui CCM ndio qwiji wa siasa za Tanzania chama chenye mikakati kuliko vyama vyote Africa?

JPM 2020-2025
CCM USHINDI NI JADI
 
Acha kulialia wewe.

JPM 2020-2025
CCM USHINDI NI JADI
Sio kulia ndio ukweli Rushwa ni laana una laana maana ubongo wako sio huru tena na siku wewe au mzazi wako mkikosa rushwa mtapata shida sana hapa Duniani ata kama mmewekeza kwa rushwa bado laana yake ni endelevu vya rushwa huishia pabaya vya jasho huduma na hungaa muda wote maana jasho ni akili rushwa ni dhuluma na dhuluma huleta laana na ndio inayo kusumbua! We juwa sisi watu wenye akili huru tu na kujibu tu ila tunaona kama tu na mjibu mtu ambaye hajitambui!
 
Tume hii iliposhirikiana na CCM kuvuruga uchaguzi wa serikali za mitaa na hata kupelekea m/ kiti wa CCM taifa kutamka hadharani kuwa hata kususia uchaguzi Ni moja ya demokrasia, wananchi walikaa kimya wakijua kuwa CCM wataifanya kuwa ni tabia yao kuiba kura...
Kwa hiyo unataka maisha yasimame kwa sababu Kuna vyama vimesusia uchaguzi? Kikubwa tunachotaka ni uchaguzi ufanyike kwa Uhuru na haki Kisha maisha yaendelee Kama kawaida aliyeshinda kwa haki atatangazwa na aliyeshidwa anakubali kushindwa hiyo pia ni demokrasia Kama Kuna mtu hajaridhika Kuna vyombo vya kisheria vya kupeleka malalamiko lakini wananchi tunachotaka ni amani hii nchi ni yetu sote amani ikivurugwa hatuna pa kukimbilia
 
Taarifa wanapitishia TBC au? [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Lisu awapuuze tu Hawa Haina haja ya kuwajibu yeye achanje mbuga Ila kadiri tunavyosogea tarehe ya uchaguzi tutaona na kusikia mengi
 
Mgombea wa CCM anapotumia lugha ya kikabila hadharani kipindi hiki cha kampeni, anapotoa hongo kwa wapigakura kwa kulazimisha barabara zianze kujengwa ktk eneo husika nje ya bajeti, anapotumia lugha za vitisho kwa wapiga kura wasichague upinzani, achilia mbali "mungu hoyeee" bado vikaragosi wake wa tume hawayaoni hayo.
Wajinga tu wote. Kinachotokea ni tofauti ns matarajio yao, lazima wapanick.
 
Ujinga wako utakoma utakapomuona kesho baba yako kaitikia wito! Tatizo sio uoga, yeye aende kujua ni vipi kaitwa! Kwa werevu wake, huenda akawasaidia pia!
Wampe barua ya wito.. sio aende kijinga tu
 
Kwa hiyo unataka maisha yasimame kwa sababu Kuna vyama vimesusia uchaguzi? Kikubwa tunachotaka ni uchaguzi ufanyike kwa Uhuru na haki Kisha maisha yaendelee Kama kawaida aliyeshinda kwa haki atatangazwa na aliyeshidwa anakubali kushindwa hiyo pia ni demokrasia Kama Kuna mtu hajaridhika Kuna vyombo vya kisheria vya kupeleka malalamiko lakini wananchi tunachotaka ni amani hii nchi ni yetu sote amani ikivurugwa hatuna pa kukimbilia
Katika katiba yetu ulishasikia kuwa matokeo ya urais yakisha tangazwa kuna uwezekano wa kuyahoji katika chombo chochote Cha kisheria? Anzia hapo kiongozi.
 
Hatuwezi kulalamika kwamba NEC Sio huru kwa kuwa wateule wake wote wanateuliwa na Rais (mgombea wa CCM) WAKATI HUOHUO tumekubali kuingia na kuendelea na uchaguzi. Tunatarajia nini? Ruzuku labda.

Wapinzani baada ya Nov 2020 (CHADEMA au CCM) msikubali kamwe kuingia tena kwenye uchaguzi mwingine wowote na mhakikishe hii Tume inafutwa na kuundwa upya kwa matakwa yenu na ya walio wengi. Otherwise mtaendelea kuwa wapinzani daima dumu.

Hata huko kwingine ambapo Wapinzani waliingia Ikulu (Ghana, Malawi, Nigeria etc...), Tume zao ilibidi zivunjwe kwanza na kuundwa upya na hii haikuja tu kwenye silver plate.
 
Back
Top Bottom