General Mangi
JF-Expert Member
- Dec 21, 2013
- 15,303
- 23,064
Mgombea Urais kupitia CHADEMA amesema hajapokea malalamiko yoyote kuhusiana na uchaguzi na hajapokea wito wowote wa kufika tume zaidi ya kusikia kwenye mitandao. Hivyo hawezi kuacha Kampeni kwa maneno ya mitandaoni
=====
=> Sijapokea malalamiko yoyote juu ya jambo lolote linalohusiana na kampeni za Uchaguzi Mkuu huu kutoka NEC. Sijapokea wito wowote kuhusu jambo lolote linalohusiana na kampeni za Uchaguzi Mkuu huu kutoka NEC. Sitarajii kuacha kampeni ili kuitikia wito wa mitandaoni wa mtu yeyote!
=> Mkurugenzi wa Uchaguzi huyu ni kada wa CCM, by his own admission. Na ni mteule wa Rais Magufuli, mgombea Urais kwenye Uchaguzi Mkuu huu. Mwenyekiti, Makamu Mwenyekiti na Makamishna wote wa Tume ya Uchaguzi na Wasimamizi wa Uchaguzi wote ni wateule wa Magufuli. Huo uhuru uko wapi?
=> I've not received any complaint against my conduct of the election campaign from NEC. I've not received any summons from NEC on any matter concerning my conduct of the campaign. I don't intend to attend any purported hearing on any matter concerning my conduct of the campaign.
UPDATE:
Tundu Lissu anasema hadi sasa hajapokea tuhuma zozote kutoka Tume ya uchaguzi wala mgombea yoyote au chama chochote cha siasa.
“NEC kama wana tuhuma dhidi yangu ( Lisu) basi wanapaswa kuzileta kimaandishi nami nitakuwa na saa 48 za kujibu kimaandishi kwa mujibu wa kanuni”, amemalizia Lissu.