Uchaguzi 2020 Tundu Lissu: Sijapokea wito kutoka Tume ya Uchaguzi. Sitarajii kuacha Kampeni kwa kuitikia wito kutoka mitandaoni

Uchaguzi 2020 Tundu Lissu: Sijapokea wito kutoka Tume ya Uchaguzi. Sitarajii kuacha Kampeni kwa kuitikia wito kutoka mitandaoni

General Mangi

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2013
Posts
15,303
Reaction score
23,064
Mgombea Urais kupitia CHADEMA amesema hajapokea malalamiko yoyote kuhusiana na uchaguzi na hajapokea wito wowote wa kufika tume zaidi ya kusikia kwenye mitandao. Hivyo hawezi kuacha Kampeni kwa maneno ya mitandaoni

=====

=> Sijapokea malalamiko yoyote juu ya jambo lolote linalohusiana na kampeni za Uchaguzi Mkuu huu kutoka NEC. Sijapokea wito wowote kuhusu jambo lolote linalohusiana na kampeni za Uchaguzi Mkuu huu kutoka NEC. Sitarajii kuacha kampeni ili kuitikia wito wa mitandaoni wa mtu yeyote!

=> Mkurugenzi wa Uchaguzi huyu ni kada wa CCM, by his own admission. Na ni mteule wa Rais Magufuli, mgombea Urais kwenye Uchaguzi Mkuu huu. Mwenyekiti, Makamu Mwenyekiti na Makamishna wote wa Tume ya Uchaguzi na Wasimamizi wa Uchaguzi wote ni wateule wa Magufuli. Huo uhuru uko wapi?

=> I've not received any complaint against my conduct of the election campaign from NEC. I've not received any summons from NEC on any matter concerning my conduct of the campaign. I don't intend to attend any purported hearing on any matter concerning my conduct of the campaign.

Screenshot_20200928-052728.png
Screenshot_20200928-052701.png
UPDATE:

Tundu Lissu anasema hadi sasa hajapokea tuhuma zozote kutoka Tume ya uchaguzi wala mgombea yoyote au chama chochote cha siasa.

“NEC kama wana tuhuma dhidi yangu ( Lisu) basi wanapaswa kuzileta kimaandishi nami nitakuwa na saa 48 za kujibu kimaandishi kwa mujibu wa kanuni”, amemalizia Lissu.
 
Nnayo hakika ya utimamu wa Mh Lissu, kama Tume hawakufuata utaratibu ktk kumuita mgombea basi wafuate utaratibu na sio kuitana kihuni tu. Tunatishwa kila Siku kwenye kampeni na Mgombea wa CCM Mh Mkuu wa Nchi kuwa tukichagua Upinzani hatotuletea maendeleo. Mbona huyu haitwi wala kukemewa?

 
I've not received any complaint against my conduct of the election campaign from NEC. I've not received any summons from NEC on any matter concerning my conduct of the campaign.

I don't intend to attend any purported hearing on any matter concerning my conduct of the campaign[emoji1536][emoji1536][emoji1536][emoji1536][emoji1548][emoji1548][emoji1548][emoji818][emoji818][emoji818][emoji818]
 
Atapelekewa Leo asbh hii, kabla hajaanza kampeni zake kwani tarehe 29.09. Si bado au imepita ? .vijana wamelipwa Per diem ya siku 10, na ontrasit na food and refreshment ili kumpelekea hyo surmons mkononi. Kufanya kazi tume raha sana, mgombea yupo arusha unamfuata mwanza
 
Magufuli aliwah kutoa matamshi ya kuligawa taifa akiwa anafanya kampen zake huko kanda ya ziwa..na amekiuka maadili mengi ya Uchaguz akiwa nyehunge.. Kwa nn NEC hawajamwita..huu ndio utopolo wenyewe!
 
Mgombea wa CCM anapotumia lugha ya kikabila hadharani kipindi hiki cha kampeni, anapotoa hongo kwa wapigakura kwa kulazimisha barabara zianze kujengwa ktk eneo husika nje ya bajeti, anapotumia lugha za vitisho kwa wapiga kura wasichague upinzani, achilia mbali bado tume hawayaoni hayo.
 
Back
Top Bottom