Pac the Don
JF-Expert Member
- Feb 17, 2021
- 7,247
- 8,682
Ngoja walinda legacy wakusikie kuhusu makinikia 🤣🤣🤣. NB: LISSU yuko real san, tatizo watanzania hasa walinda legacy na uvccm hawamuelew wanaona kama hatetei maslahi ya Taifa. Bali LISSU hua anasimamia ukwel uliopo kimkataba, kwamba ukienda ndivyo sivyo utanyolewa bila maji!!Nimemsikiliza Lissu vizuri, anasema tumeuzwa na Raisi, kazi iendelee.
Nilikua mmoja wa watu ambao nilimpinga Lissu kipindi kile kwenye yale mambo ya makinikia. Mwisho Lissu ameibuka mshindi
Hili la leo mnaweza kumpinga tena, lakini akaibuka mshindi. kwa historia yake ya nyuma kwenye masuala haya bado tuna wasiwasi nae?
Je kweli tumeuzwa au hatujauzwa? Lissu ameongopa? Muda tuuache useme.
Naweka video ya alichozungumza.
View attachment 2652209
Wajinga wachache kama ww ndio mnawapoteza walinda legacy na uvccm!! LISSU hua anasimamia mkataba serikali ulioingia ukienda kinyume chake utanyolewa bila maji!! Ikimaanisha Taifa litakuja ingia hasara ya kushitakiwa, nadhan ushaona matokeo ya midege yetu!!Kipindi chote cha shujaa Lisu alikuwa anapinga maendeleo alitumika vibaya mno
Magufuli alieleta mibunge hii ndiye katuuzaHawa wajinga ndio walishangilia magufuli kufa ili huyu mtu atuuze kwa waarabu
shetani mamaako na mkeo mbwa wewe.Samia hana huruma na wabara, ametutoa sadaka, huyu ni shetani.
ili ukamloge ?Amedai akiwa wapi?
Karibu sanaHuwa nakupinga kwenye mambo mengi ila kwenye hili la bandari tuko upande mmoja. Na limeunganisha Chadema na CCM na wasio na vyama kwa wingi. Tanzania kwanza mengine yatafuata.
kwa lugha rahisi huo ni Mkataba wa MileleNani amemwelewa profesa hapa anifafanulie. Huu mkataba ni wa miaka mingapi? [emoji15][emoji15][emoji15][emoji15]
View attachment 2653075
ili ukamloge ?
Bavicha mnawaza kulogana tu na Mganga wenu Mshana!ili ukamloge ?
Chadema na baadhi ya watanzania ni watu wa ajabu sana.Alikuja Hayati JPM mkasema anajenga badolite pale Chato kana kwamba chato siyo Tanzania .kama Nchi inauzwa msipige makalele maana huo ni uongoAmedai kwamba kwa uzoefu wake wa mambo ya Sheria na Mikataba ya Nchi na Nchi hajawahi kuona mkataba wa ovyo na usiofaa kwa lolote kama huu uliopitishwa bungeni kwa kishindo.
View attachment 2653077
Hata hivyo amesema bado ni mapema kujua hatua za kuchukua ili kulishughulikia jambo hilo lenye makandokando mengi.
Toa maoni yako.
Sent from my SM-J500H using JamiiForums mobile app
Bado tuna haki ya kumlaumu Chifu Mangungo wa Msovero?kwa lugha rahisi huo ni Mkataba wa Milele
ulitaka kuandika nini labda , maana huelewekiChadema na baadhi ya watanzania ni watu wa ajabu sana.Alikuja Hayati JPM mkasema anajenga badolite pale Chato kana kwamba chato siyo Tanzania .kama Nchi inauzwa msipige makalele maana huo ni uongo
Amedai kwamba kwa uzoefu wake wa mambo ya Sheria na Mikataba ya Nchi na Nchi hajawahi kuona mkataba wa ovyo na usiofaa kwa lolote kama huu uliopitishwa bungeni kwa kishindo.
View attachment 2653077
Hata hivyo amesema bado ni mapema kujua hatua za kuchukua ili kulishughulikia jambo hilo lenye makandokando mengi.
Toa maoni yako.
Sent from my SM-J500H using JamiiForums mobile app
Huyu ni mpayukaji anayepaswa kupuuzwa. Bunge lina wabunge kibao tena wa fani mbalimvali na wazalendo kumshinda lisu ambaye anaonekana wazi kuwa mtetea maslahi binafsi.Amedai kwamba kwa uzoefu wake wa mambo ya Sheria na Mikataba ya Nchi na Nchi hajawahi kuona mkataba wa ovyo na usiofaa kwa lolote kama huu uliopitishwa bungeni kwa kishindo.
View attachment 2653077
Hata hivyo amesema bado ni mapema kujua hatua za kuchukua ili kulishughulikia jambo hilo lenye makandokando mengi.
Toa maoni yako.
Sent from my SM-J500H using JamiiForums mobile app
kwa lugha rahisi huo ni Mkataba wa Milele
Nani amemwelewa profesa hapa anifafanulie. Huu mkataba ni wa miaka mingapi? 😳😳😳😳
View attachment 2653075