Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 24,831
- 45,154
Huyu Mwamba sio mtu wa kawaida.Naona baada ya kutafuta wapi na nini watanzania wanataka, sasa umeshaelewa, kamatia hapohapo, awareness ifanyike, na hiyo ndio ticket yenu itakayo win mioyo ya wapigakura mwaka huu serikali za mtaa na mwakani.
Nawashauri kamatieni hapohapo, ukisikia mayowe jua jiwe limetua.
Mwabukusi anasema Tundu Lissu tunamuona kama mwenzetu lakini sio kweli. Lissu ni kama Yesu alizaliwa na Mwanamke na baadae walikuja kushangaa alipokufa akafufuka ndio wakakiri kwamba kweli alikuwa Mwana wa Mungu. Awali walisema anakufuru.Lissu ni Mussa wa Watanganyika wa leo na wa kesho.
Hilo suala la Muungano ni la siku nyingi sana toka mzee Nyerere akiwa hai, zilishaundwa tume nyingi sana, kutafuta, suluhu. Miongoni mwa tume maarufu ni tume ya Nyalali. Hakuna hoja ambaye ni ya maana kuwa, ni kitu kipya.Naona baada ya kutafuta wapi na nini watanzania wanataka, sasa umeshaelewa, kamatia hapohapo, awareness ifanyike, na hiyo ndio ticket yenu itakayo win mioyo ya wapigakura mwaka huu serikali za mtaa na mwakani.
Nawashauri kamatieni hapohapo, ukisikia mayowe jua jiwe limetua.
Naona baada ya kutafuta wapi na nini watanzania wanataka, sasa umeshaelewa, kamatia hapohapo, awareness ifanyike, na hiyo ndio ticket yenu itakayo win mioyo ya wapigakura mwaka huu serikali za mtaa na mwakani.
Nawashauri kamatieni hapohapo, ukisikia mayowe jua jiwe limetua.
Kazi iendeleeKamanda lissu tunakuaminia!
Songa mbere mkuu pamoja sana!
HahaaHili la Wabunge 50 kutoka Zanzibar yenye wapiga kura wasiozidi laki tano, Temeke wapiga kura 1.5M Wabunge 6 imewaliza Machozi Watanzania
Kuiondoa CCM madarakani hatuhitaji vyema.imara, bali tunahitaji wananchi/wapiga kura imara wenye kujielewa na kuelewa ni nini wanahitaji kwa maslahi mapana ya taifaHilo suala la Muungano ni la siku nyingi sana toka mzee Nyerere akiwa hai, zilishaundwa tume nyingi sana, kutafuta, suluhu. Miongoni mwa tume maarufu ni tume ya Nyalali. Hakuna hoja ambaye ni ya maana kuwa, ni kitu kipya.
CDM wanashindwa kuwashawishi, watanzania kwa kuwa ni chama kisichokuwa na milengo kamili. Na, mm pia ni naona kuwa bado hakina hoja za msingi kuiondoa CCM. Chama chenyewe kimekuwa chama cha makando kando. Mfano, mwenyekiti wa chama amekuwa wa kudumu. Je, utaweza vipi kukosoa huku ukiwa, ww huna democracy. Mwaka 2015 walimsimamisha marehemu Lowasa. Lakin tayari walishawadanganya watanzania kuwa, alikuwa fisadi.
Kwa upande wangu naamini watanzania tunahitaji vyama imara, na visivyohitaji maslahi zaidi ili kuiondoa CCM. ACT na CDM sio vyama vya kutusaidia.
Unamjua aliekufa kisa tu kasifiwa kuwa kama Mungu nae hakukanusha?Mwabukusi anasema Tundu Lissu tunamuona kama mwenzetu lakini sio kweli. Lissu ni kama Yesu alizaliwa na Mwanamke na baadae walikuja kushangaa alipokufa akafufuka ndio wakakiri kwamba kweli alikuwa Mwana wa Mungu. Awali walisema anakufuru.
Ili kupata wapiga kura imara, unatakakiwa kwanza upate vyama vya upinzani imara ili wapiga kura waviamini.Kuiondoa CCM madarakani hatuhitaji vyema.imara, bali tunahitaji wananchi/wapiga kura imara wenye kujielewa na kuelewa ni nini wanahitaji kwa maslahi mapana ya taifa
Was not necessary chief.We endelea tu kulamba MATAKO ya wanaCCM ......!!
Kama kaongea hivyo basi mpuuzi, Zanzibar ni nchi,suala la idadu ya watu halina mashiko,ukiiondoa Zanzibar hakuna Tanzania,utailinganishaje na temeke!?Hili la Wabunge 50 kutoka Zanzibar yenye wapiga kura wasiozidi laki tano, Temeke wapiga kura 1.5M Wabunge 6 imewaliza Machozi Watanzania
Unataka kuajiriwa serikali ya mapinduzi Zanzibar wakati wewe si mzanzibar!?Ubaguzi wa Wazanzibari upo kila eneo kuanzia ardhi,elimu,ajira... ..
The phrase is normal ..... may be it sound different when written in swahili.Was not necessary chief.
Na wanafurahia sana Lissu kumchana Samia kwenye maswala ya kuuza bandari, kuhamisha wamasai kutoka Ngorongo, n.k.Kwenye hili hata CCM wapo nyuma ya Lissu ila uwoga ndio tatizo