Tundu Lissu: Tuna Rais Mzanzibari anayeweza kwenda Ngorongoro na kutoa Amri kwa Wanajeshi wafukuze wamasai wote

Tundu Lissu: Tuna Rais Mzanzibari anayeweza kwenda Ngorongoro na kutoa Amri kwa Wanajeshi wafukuze wamasai wote

Anaongelea uzanzibari na utanganyika
Huwa napata taabu sana kumsikiliza LISU- ni miezi takriban 6 sijamsikiliza. Leo nikafikiri anapoint, nikafungua na kumsikiliza. Kumbe ndio kaharibikiwa zaidi.
Ok- Hebu nisimame nawe juu ya Uzanzibari na utanganyika. By the way neno Zanzibar kwa dk hizo 5 tu za Lisu limetamkwa zaidi ya mara 7.
Nikurudishe nyuma kidogo: 1)Mkapa alituma askari kuuwa wazanzibari baada ya uchaguzi mpaka wengine wakaomba ukimbizi. 2) Kikwete kavunja matokeo ya urais Zanzibar na uchaguzi kurudiwa upya. 3)Marais wote wa Zanzibar huteuliwa toka Dodoma na si kuchaguliwa na wazanzibar. Hivi haya yote Lissu hayaoni, sijasikia kuyazungumzia. Ok, huyo kaathirika na yaliyomkuta, je nawe haya huyaoni?

Sasa nikufungue, Huyu Lissu ni mbaguzi hatari sana, hafai hata kuwa waziri. Akimalizana na Uzanzibar na Utanganyika atakuja na Usingida na Umasai. Rejea siasa za Majimbo. Ndio ntaelewa nini ninachokizungumza.
M Mungu alimpa nafasi ya kujirekebisha, inabidi aitumie vizuri kwani muda ni mfupi.
 
Lissu usiache kuwapa elimu zaidi Watanganyika kuhusu nchi yao kwa kila mkutano utakao fanyika nakuomba sana elimu inahitaji zaidi kwa Watanganyika kuhusu nchi yao.
Hapana! Mkutano ujao aingie kabisa katika point kuu ya CHADEMA- MAJIMBO. Itapendeza zaidi, maana watanzania na watanganyika bado hawajui Lissu anakotupeleka.
 
Huwa napata taabu sana kumsikiliza LISU- ni miezi takriban 6 sijamsikiliza. Leo nikafikiri anapoint, nikafungua na kumsikiliza. Kumbe ndio kaharibikiwa zaidi.
Ok- Hebu nisimame nawe juu ya Uzanzibari na utanganyika. By the way neno Zanzibar kwa dk hizo 5 tu za Lisu limetamkwa zaidi ya mara 7.
Nikurudishe nyuma kidogo: 1)Mkapa alituma askari kuuwa wazanzibari baada ya uchaguzi mpaka wengine wakaomba ukimbizi. 2) Kikwete kavunja matokeo ya urais Zanzibar na uchaguzi kurudiwa upya. 3)Marais wote wa Zanzibar huteuliwa toka Dodoma na si kuchaguliwa na wazanzibar. Hivi haya yote Lissu hayaoni, sijasikia kuyazungumzia. Ok, huyo kaathirika na yaliyomkuta, je nawe haya huyaoni?

Sasa nikufungue, Huyu Lissu ni mbaguzi hatari sana, hafai hata kuwa waziri. Akimalizana na Uzanzibar na Utanganyika atakuja na Usingida na Umasai. Rejea siasa za Majimbo. Ndio ntaelewa nini ninachokizungumza.
M Mungu alimpa nafasi ya kujirekebisha, inabidi aitumie vizuri kwani muda ni mfupi.
HUYU HAFAI HATA KUWA MWENEYEKITI WA FAMILIA HOPLESS KABISA
 
Lisu kaongea kizalendo sana.Huyu mzanzibari makunduchi kaivuruga sana Nchi yetu.tumeanza kuishi kama wakimbizi ndani ya Nchi yetu.tukigundua madini tunafukuzwa Kwa madai wanaleta wawekezaji kutoka Dubai,Vitu vikipada bei wanasema tuhamie Burundi,tumeishi na wanyama huko ngorongoro na hakina tatizo lakini huyu kaamua kutufukuza ili alete wajomba zake kutoka omani.
 
ila tuache uongo Lissu anajua mengi kuhusu hii nchi
Sio kujua tuu,Lissu ana uwezo mkubwa sana wa kuelezea jambo kwa lugha nyepesi na likaeleweka vyema sana na hata mazuzu ya "mambuzi".

Lissu ni mkweli sana.
Lissu ni muwazi kupindukia.
Lissu ni mtu wa kuita nyeupe ni nyeupe.
Lissu ni mjasiri wa kupigiwa mfano.
Lissu ni akili kubwa kuliko kawaida.

Kwa ujumla,Lissu ni baraka kwa Tanzania kama angetumika "fully" na nchi.
 
"Leo tuna miaka 60 tukiitwa Tanzania, ndiyo maana tuna rais ambaye ni mzanzibari, siyo mtanganyika. Anaweza kwenda ngorongoro akatoa amri kwa wanajeshi hawa, akasema fukuza wamasai wote ngorongoro wamepele Msomera Handeni, 547Km kutoka ngorongoro."

"Huyu rais Mzanzibari siyo Mtanganyika, hajazaliwa upande huu, miaka 60, huyu mzanzibari anaweza kutoka alikotoka akaja kuburuga watu huku. Kusingekuwa na huo muungano asingefanya hivyo kwasababu asingekuwa rais wetu"

"Na siyo ngorongoro tu, sasa wanasema Longido yote, Monduli ya mbugani yote, ule upande wa kwenda Siha nyuma ya mlima Meru yote ile, Simanjiro yote mpaka huku minyingu na maeneo mengine ya wafugaji yote. Wanasema hivi, na haya maeneo wanapanga kuyafanya kuwa mapori tengefu na wakiyatenga kuwa maeneo tengefu maana yake wamasai wanafukuzwa kote"

"Mimi minetembea nchi hii mwaka jana, kila mahali ni kilio cha ardhi, nchi hii kuna kilio kikubwa cha Ardhi nchi nzima na sababu ni moja, rais anaamuru watu wake mapolisi, DC, wanajeshi wahamishe wananchi"

Pia soma:
Niliskia namna aligyofafanua Katiba Ya Zanzibar kuhusu Mtu anayeiywaza
 
Sisi watanganyika, wao wazanzibar, kumbe kwa wazanzibar kuna wapemba na waunguja, dhambi ya kutenga watanzania mkiishaitenda ni sawasawa na kula nyama ya mtu
 
Back
Top Bottom