Wyatt Mathewson
JF-Expert Member
- Dec 22, 2017
- 10,432
- 25,124
Alikua na uwezo wa kufanya coalision na capitalist class ya TZ na nje ya nchi na wakampa fedha za kuendesha chama comfortably.Mwamba alikuwa amejitolea au alikuwa anakomba kibubu? Unamsifia mwizi!?
Lissu na mpumbavu Heche na Lema wamewatukana na nabii akasema chama kitaendeshwa na "michango" ya masikini...tangu lini masikini akaendesha chochote?
lissu hajui hata maana ya capitalist class,hajui maana ya coalision,hajui hata maana ya "credit" au "debit" and hata maana ya neno "finance"
chama hakiendeshwi kwa ruzuku wala kuzungusha bakuli kwa masikini wa nchi hii
tangu lini mwanaharakati ambae ni amejenga carrier yake kwa kua professional mlalamishi akajua kuendesha "taasisi"?
Heche ni even worse darasa la saba yule...hajui maana ya neno fedha au maana ya organizational skills