Pre GE2025 Tundu Lissu: Tuna upungufu wa kutisha wa fedha kwa ajili ya shughuli za Chama (CHADEMA), msiniulize nimekuta nini, jibu halitakuwa zuri!

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Mwamba alikuwa amejitolea au alikuwa anakomba kibubu? Unamsifia mwizi!?
Alikua na uwezo wa kufanya coalision na capitalist class ya TZ na nje ya nchi na wakampa fedha za kuendesha chama comfortably.

Lissu na mpumbavu Heche na Lema wamewatukana na nabii akasema chama kitaendeshwa na "michango" ya masikini...tangu lini masikini akaendesha chochote?

lissu hajui hata maana ya capitalist class,hajui maana ya coalision,hajui hata maana ya "credit" au "debit" and hata maana ya neno "finance"

chama hakiendeshwi kwa ruzuku wala kuzungusha bakuli kwa masikini wa nchi hii

tangu lini mwanaharakati ambae ni amejenga carrier yake kwa kua professional mlalamishi akajua kuendesha "taasisi"?

Heche ni even worse darasa la saba yule...hajui maana ya neno fedha au maana ya organizational skills
 
Ruzuku, ada za wanachama na michango mingineyo zilikuwa zinaenda wapi!? Kifupi Lissu kaamua kumstahi mwizi.
kila mchango una kazi yake na una kamati maalumu wa kampeni husika

na hela si nyingi mkuu kama unavyodhani

kwa mbali sana hela za kipindi Lissu anapigwa risasi..mengine yote ni hasara tupu

unaona kapu linapitishwa unadhani kuna hela ya maana inakusanywa mkuu?

nothing

walao ruzuku ndio ipo consistently

vyama ya kianaharakati vinaendeshwa na foreign sources na capitalist class ya tanzania tena uongee nayo vizuri ione maana ya opposition na hiyo kazi alikua anaiweza FAM...

Lissu na Heche na Lema wamewatukana matusi ya nguoni and remember FAM ndio ana keys to that class
 
CHADEMA ina wanachama mamilioni tukichanga jero jero tu inatosha.
mkuu

ndio alichokua anasema lema kumbe lema hana akili anaongea vitu asivyovijua

kupitisha kapu kuna limit yake

masikini wana limit

tangu waingie madarakani wameshapitisha kapu mara kadhaa,hakuna hela mkuu

chama hakiendeshwi na masikini,kinaendeshwa na capitalist class inayojua umuhimu wa opposition na maslahi yao yanalindwa which FAM knew how to tap into that.

na source zingine ni nchi za nje

Lissu hata akili hiyo ya ku-raise funds this way

jero jero unazosemea hapa washachanga zaidi ya mara 6,na kapu watu washaanza kuchoka nalo

na as days go on ,itazidi kua worse
 
Ni kwamba zilikuwa hazipatikani ? Haziji au Zinaliwa ? Kama zilikuwa zinaliwa walaji bado wapo ? Kama zilikuwa zinapatikana kwanini sasa hivi hazipatikani au Haziji.., Nadhani ni mawili either watumie Hoja / Itikadi ndio ziwabebe (hata raia hawana pesa) Au kama ni za maana na za lazima nadhani lazima walikuwa wana plan B hata kabla hawajachukua uongozi (sidhani kama walidhani akaunti zimejaa na leo ndio wameshituka) Kama kiongozi alikuwa privy na information kuliko hata sisi...

Hili linaweza kuchukuliwa kama excuses and blaming culture ila ndio kawaida ya wanasiasa...
 
Lissu kupewa pesa na wafanyabiashara ni ngumu sana sababu Lissu hana sir ataropoka tu
 
Huchoki na crap?
 
Ruzuku, ada za wanachama na michango mingineyo zilikuwa zinaenda wapi!? Kifupi Lissu kaamua kumstahi mwizi.
Kamstahi vipi? Ni yale yale ya kutumia mafumbo ili aweze kuruka baadae. Anashindwa nini kusema wazi kuhusu mapato na matumizi ya chama chake? Hakuna siri maana hesabu zao zote zinakaguliwa na CAG. Na kuna wakati Takukuru nao waliahidi kuzikagua. Aziweke wazi tu kama alivyo ahidi. Nje ya hapo ni majungu tu ya kutaka kumchafua aliyemtangulia.

Amandla...
 
....wale mangi wa kariakoo wamesema hamtokuwa nao katika huko kushajiishana michango kwa mwenyekiti "wasiyemuamini kuwa mtekelezaji wa malengo makubwa ya kuanzishwa kwa CHADEMA na mzee Mtei...."
Thats marks the point kua walikua wanamchangia Mbowe na sio chadema,Na huenda walikua na Mgao wao ruzuku zikiingia
 
Sasa, pesa za kununulia zile bunduki za kukiwezesha chama kushinda uchaguzi zitatoka wapi?
 
JPM na Lissu wanatabia za kufanana.

Sema mmoja aliaamini katika matendo na matokeo yanayoonekana.

Mwinginwe anaamini katika maneno.
Kutwa nzima tuongee na kupiga domo.
Hawafanani kwa hata jambo moja.
 
Mwana kulitafuta mwana kulipata. Pambana na hali hako
 
Lissu anajua wazi tena pasipo shaka kwamba chama hakina fedha za kutosha.

Tatizo la Lissu ni kutaka kufanya siasa chafu katika kila jambo.Sasa imekuwa ni utaratibu rasmi wa kutumia kila mbinu mbaya kuonyesha utawala uliopita ulifuja fedha za chama na kwamba Lissu kakuta hazina imekauka.

Chadema wanapata mgao wa Tsh 107 million kila mwezi.Ukubwa chama hiyo fedha ni ndogo sana haiwezi kukidhi gharama zote za uendeshaji wa chama.

Chini ya uongozi wa Mbowe chama kilifanya uchaguzi kuanzia ngazi ya chini hadi taifa.Jambo hili limekuwa gumu kwa vyama vingine vingi ukiondoa CCM ambayo inachota mabillion ya fedha kila mwezi.

Chini ya uongozi wa Mbowe Chadema imepata ofisi yenye hadhi ya chama huko Mikocheni.

Mambo haya yote yaani uchaguzi na ununuzi wa jengo la chama yalichota fedha nyingi za chama.

Lissu atatakiwa kutafuta fedha za kuendesha chama na kuacha siasa za ujanja ujanja.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…