Tundu Lissu: Tunasikia taarifa watu wanakufa kwa Corona lakini haisemwi wazi. Serikali imerekebisha Sheria inayozuia kupeana taarifa

Kuna mbwa wenzio pale lumumba wanasema hataambulia chochote. Wewe umeboresha kidogo. Bashiru naye kasema watashinda viti vingi.
Mtaelewa tu mwaka huu.
Matusi na kashifa hazijengi mkuu, but siwezi kuwalaumu maana mgombea wenu break mdomoni kwake,chochote kikija kwake ni kuropoka tu


Turudi kwenye hoja,lissu hafai kuwa rais na hata kuwa kwa vyovyote vile iwavyo,huyu mtu no mbinafsi na mlafi wa madaraka na ataigawa nchi yetu na huenda hata ikaingia kwenye machafuko sababu ya huyu lissu

Watanzania hawapendi promo,wanapendA rais mchapa kazi kama ilivyo kwa JPM,

Harafu itakuwa ni maajabu kwa chama ambacho hakina uhakika wa kupata japo five MPs kutegemea kutoa rais wa kuiongoza nchi
 
Jifunze kwanza kuandika, kabla ya kujifunza kujenga hoja. Shwain.
 
Best loser anajipya gani? Huyu lissu ni mfa maji,hana atakachoambulia kwenye uchaguzi wa October, akijitahidi sana ni 5% ya kura zote
Kama mlimshindwa kwa risasi kwenye box la kura ndiyo mtamuweza?? Na kama mlijua hilo risasi zilikuwa za nn??
 
Asavali. Media za huko hawana mambo za kukata kata speech za watu. Acha ateme cheche vizuri
Yaonekana kuna connectivity problem from our side as mahojiano yanakatikakatika?!!
 
Asibwabwaje sana. Abakize na vya kuongea wakati wa kampeni. Maana akimaliza vyote b4 kampeni tutamwona Hana jipya Kama mzee wa mastiglaji na standard geji kila siku.
 
polepole na genge lake la CCM wanapoteza bure kodi zetu kwa kulipa elfu saba mtu mwenye akili ya namna hii.
Haya wewe subiri,mimi wala silipwi hiyo pesa unayoisema,mimi ni mzalendo na akili zangu si za kuambiwa kama za wale wenye mgombea mtaalamu wa kuropoka. Mimi najua kupima mambo,lissu hawezi kuwa rais na wala hatakuwa rais hadi anaenda kaburini

Kumpa lissu hii nchi ni Mara kumi akapewa hashimu Rungwe kuliko huyu bwana
 
N.G.U.R.U.W.E wa Lumumba mnatapatapa sana, mitano ya Nduli makufuli inatosha. Utawala wa mkono wa chuma sasa basi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…