Tundu Lissu: Tunasikia taarifa watu wanakufa kwa Corona lakini haisemwi wazi. Serikali imerekebisha Sheria inayozuia kupeana taarifa

hawa watu ameshindwa kuwafungulia kesi na kuwapeleka mahakamani ataweza kushindana nao kwenye uchaguzi kweli
anadhani hao watu hata akishinda uchaguzi watamtangaza mshindi
naona ameshakiri kwamba maadui zake wana nguvu kushinda yeye
 
Hao wataliii wanaokuja wanatokea nchi zenye korona kwa 120 %,

Logical thinking, nchi yenye corona free inashangilia kupokea wataliii kutoka nchi yenye corona???
 
Swali fikiri je corona bado ipo?
Wewe umemuona akivaa barakoa kwenye mkutano wowote.

Kuna ndugu yake wa karibu kaondoka kwa Corona.

Hao wanopiga kelele kuwa ipo mbona Bado wapo wote na hakuna aliyeondoka kwa Corona??
 
Kuna watu mna mawazo ya kizamani! Hivi shule mlienda kujifunza ujinga?
 
Best loser anajipya gani? Huyu lissu ni mfa maji,hana atakachoambulia kwenye uchaguzi wa October, akijitahidi sana ni 5% ya kura zote
Kuna mtu anasema amenunua ndege kwa keshi na haoni mtanzania mwingine anaweza kufanya hivyo,Sasa sijui kesho corona ikimchukua ndo utakuwa mwisho wa nchi hii? Kwa kweli kuwa uyaone
 
Yani kweli media za ndani zimeamua kusaliti upinzani kweli kabisa kweli haya bwana siku hazigandi.
Sasa kama kashindwa kufanyia Tz nan asafir kutoa taarifa? Wacha atumike kwa mabeberu watampigia kura huko huko
 
Hao wataliii wanaokuja wanatokea nchi zenye korona kwa 120 %,

Logical thinking, nchi yenye corona free inashangilia kupokea wataliii kutoka nchi yenye corona???
Tusubiri logic ya wapiga kura Oktoba 28, 2020.
 
Na kura atapigiwa na dunia
Kwamba taa za barabarani nazo siku hizi ni maendeleo? Kukosa exposure kweli ni mzigo,kumbe ndo maana walitaka kuweka taa hapa mbezi
 
Kuna mtu anasema amenunua ndege kwa keshi na haoni mtanzania mwingine anaweza kufanya hivyo,Sasa sijui kesho corona ikimchukua ndo utakuwa mwisho wa nchi hii? Kwa kweli kuwa uyaone
Umeambiwa corona haipo ila jihadhari na corona inauwa kwa muda mfupi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…