Pre GE2025 Tundu Lissu: Tuungane na ACT ili iweje? Tukishirikiana na vyama vingine kwenye Uchaguzi, tunaenda kuliwa vichwa

Pre GE2025 Tundu Lissu: Tuungane na ACT ili iweje? Tukishirikiana na vyama vingine kwenye Uchaguzi, tunaenda kuliwa vichwa

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

kwa ukurupukaji na papara za huyu kiongozi,

bilashaka yoyote wagombea udiwani na ubunge wa chama hicho watenguliwa tu tena zaidi hata ya uchaguzi wa serikali za mitaa, kwasababu wanachochewa kugombea uongozi ni watu midomo na makelele tu badala ya kuzingatia sifa na vigezo vya kisheria na kikatiba vilivyopo.

Rais ataendelea kuwateu makamishna wa tume huru ya uchaguzi kwa mujibu wa sheria.
na watumishi wa uma wa ngazi yoyote huko wilayani na mikoani na kwenye kata wataendelea kusimamia uchaguzi bila mbambamba ya chama chocho cha siasa,

uchaguzi huru, haki na wa wazi nchini, ngazia ya udiwani, ubunge na urais utafanyika kwa salama na amani mapema oct.2025. hakuna haji kubaika na makelele ya vibaraka wa mabwenyenye ya magharibi.

hakuna tatizo hata moja kwenye uchaguzi wa Tanazania,
watakao leta fujo watadhibitiwa vilivyo bila kuchelewa.

ni muhimu sana kila mtanazia kufahamu na kuzingatia hili :MODS:
 
Ulisema hautafuatilia Lissu anasema nini Leo, nini kimekuleta hapa!?
acha upotoshaji na uongo mbele ya wadau gentleman,

mtaalamu na mbobevu mwenye maono like me siwezi kumpuuza hata Hashim Rungwe Spunda fore reference and record wakati wa kutoa uchambuzi :MODS:
 
Waliosema Lissu akipinga Ngoma CCM wanademka, alikuwa sahihi kumbe.

Lissu ndiye muanzisha mwendo Kwa siasa za Tanzania.
ni muanzilishi wa makelele na mdomo, vita ya maneno, uhasama, uadui na uvaaji bullet proof vest miongoni mwa wana chadema yenyewe na sio upotoshaji wako gentleman :pedroP:
 
Lissu ndiye mtanzania pekee aliyekataa kunyamazishwa na Magufuli.
ofcoz ni mtanzania mnafiki wa kwanza kuvaa bullet proof vest kwa kisingizio cha hatari za usalama wake ndani ya chadema HQ, lakini akisingizia taasisi za nje ya chadema,

huo mwingine ni upotoshaji gentleman :MODS:
 
HUYO KIBAKA BADO HAJAFIKIA KUTWA ANAHUTUBIA TAIFA SEMENI ANAONGEA NA WAANDISHI WA HABARI ,KUHUTUBIA TAIFA NI ISSUE NYNGINE LABDA AJARIBU MWAKA 2050
Kibaka? Na Sisi tukimuita Mwenyekiti wako kibaka itakua poa?
IMG-20250211-WA0046.jpg
 
Back
Top Bottom