Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 301,577
- 754,412
kibaraka hua ana bweka bweka tu,
kabisa hua hana athari zozote kisiasa, kijamii au kiuchumi ispokua kuwafurahisha wenye midoma na makelele wenzake.![]()
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kibaraka hua ana bweka bweka tu,
kabisa hua hana athari zozote kisiasa, kijamii au kiuchumi ispokua kuwafurahisha wenye midoma na makelele wenzake.![]()
Mkoloni yupi?Hana jipya na hakujipanga. Anasimulia mambo ya mkoloni leo
mpotoshaji kumbe lengo lake ilikua ni kutengeneza huruma kwa jamii ili apitishe ombi la kuchangiwa pockett money dah

kumbe lengo la hotuba lilikua ni kuomba kuchangiwa pocket money, dahkama Taifa tunaomba hela USAID CHADEMA ikiomba hela toka kwa watanzania wenzake tatizo liko wapi?

Mkuu, nyumbu Wana akili basi. Hao ni WA kuwapuuza tu.....wanajifariji.HUYO KIBAKA BADO HAJAFIKIA KUTWA ANAHUTUBIA TAIFA SEMENI ANAONGEA NA WAANDISHI WA HABARI ,KUHUTUBIA TAIFA NI ISSUE NYNGINE LABDA AJARIBU MWAKA 2050
Hahahahahah huyu adui wa demokrasia kanichekesha. Kitu kizuri kula na nduguyo.Kuna kura zaidi ya milioni 2.1 ambazo hazijulikani zilitokea wapi, na asilimia 92 ya kura hizo zilipelekwa kwa wabunge wa CCM, sisi CHADEMA tumegawiwa hizo kura haramu 148000 lakini kura zaidi ya milioni 2 zilipelekwa kwa CCM, kura haramu kabisa.
[/B]
Tulia 🌈apewe maji ya kunywa basi jamani mpaka aombe?
kuna na huruma basi kwa wasaidizi wake?
wakamchukulie maji yake kwenye gari analo chupa kubwa la maji![]()
Ahsante Mungu kwakutupahuyu t ambae anaends kuua upinzaniHuyo ndie simba wa siasa za Tanzania 💪
Thibitisha uwepo wa MunguAhsante Mungu kwakutupahuyu t ambae anaends kuua upinzani
Hawa ndiyo wale zamani tungesema ni zumbukuku ulimwengu upo huku!Thibitisha uwepo wa Mungu
Wapi?Hawa ndiyo wale zamani tungesema ni zumbukuku ulimwengu upo huku!
Kusikojulikana... Mtu asiyejua kama huu ni usiku ama mchana.Wapi?
gentleman relax,Tulia 🌈

Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Taifa, Tundu Lissu siku ya leo Jumatano Februari 12, 2025. anazungumza na wanahabari Makao Makuu ya chama hicho mkoani Dar es Salaam
Endelea kufuatilia uzi huu hapa Jamiiforums kupata updates kuhusu hotuba hii
Tundu Lissu anasema rafu zilizotokea kwenye chaguzi za 2019, 2020, na 2024 zinatoa picha za mwelekeo wa Uchaguzi Mkuu wa mwaka huu.
"Katika miaka hii 67 ya kufanya uchaguzi, mifumo yetu ya uchaguzi imepitia mabadiliko mengi sana, sheria zetu za uchaguzi zimefanyiwa marekebisho zimetungwa upya, katiba zetu zimebadilishwa , kwa kiasi kikubwa katika hii miaka 67 tumejifunza mengi, leo tunapozungumza tunategemea nini hasa?
Ninazungumzia uchaguzi wa mitaa na vijiji wa mwaka 2019, Uchaguzi Mkuu wa Marais, madiwani na wabunge wa mwaka 2020 na uchaguzi wa mitaa na vijiji uliofanyika Novemba 2024. Chaguzi hizi tatu zinatupa sababu ya kujiuliza uchaguzi mkuu wa mwaka huu utakuaje?"
- Lissu pia amesema kwamba Uchaguzi wa Tanzania unadhibitiwa na Rais na kwamba Rais ana mamlaka makubwa sana juu ya Uchaguzi
"Jambo la kwanza kabisa ni kwamba mfumo wetu wa uchaguzi ni mfumo unaodhibitiwa na Rais wa nchi yetu, ni mfumo unaodhibitiwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na kwa upande wa Zanzibar ni mfumo unaodhibitiwa na Rais wa Zanzibar.
Rais wa Jamhuri ya Muungano ndiye anayeteua Mwenyekiti, Makamu Mwenyekiti, Mkurugenzi wa uchaguzi na wajumbe wote wa tume ya uchaguzi, anawateua bila kulazimika kushauriana na mtu yeyote yule, na wote hawa anaowateua wanafanya kazi kwa mapenzi ya Rais, anaweza kuwaondoa wajumbe wa tume kwasababu yoyote ile"
"Wapiga kura waliopiga kura halali za wabunge kwa mujibu wa taarifa ya tume ya uchaguzi walikuwa takribani milioni 11. 8 lakini ukienda kwenye matokeo ya uchaguzi ya kila jimbo katika nchi yetu, ambayo tume iliyachapisha tarehe 5 Januari 2021 ukajumlisha matokeo ya kura halali katika majimbo yote ya nchi hii unagundua kwamba wapigakura halali waliopiga kura za wabunge katika uchaguzi mkuu uliopita ni takribani milioni 8.8
- Lissu pia aligusia uwepo wa kura feki kwenye Uchaguzi wa mwaka 2020
Kuna kura zaidi ya milioni 2.1 ambazo hazijulikani zilitokea wapi, na asilimia 92 ya kura hizo zilipelekwa kwa wabunge wa CCM, sisi CHADEMA tumegawiwa hizo kura haramu 148000 lakini kura zaidi ya milioni 2 zilipelekwa kwa CCM, kura haramu kabisa.
Sasa haya yanawezekana kwasababu tume haiwajibiki kueleza mtu yeyote idadi halisi ya wapigakura iliyowaandikisha, tume haiwajibiki kufungua server zake huko wanapohifadhi takwimu za wapiga kura kwa mtu yeyote.
Na kwasababu haiwajibiki kufungua server zake kuonesha hizo takwimu, Tume imekuwa pamoja na serikali na CCM wanatumia mianya hiyo kuingiza mamilioni ya kura feki katika kila uchaguzi, sasa kura feki ni jambo la kawaida"
Daah Mkuu mbona kama Umepanic hivi na hii hotuba ya Lissu??Unahofia nn?unaogopa nn??Hata kama ni Mapenzi Kwa chama chako na kukitetea mbona hatuona hoja zozote za maana zaidi ya personal attack Kwa Mh. Lissu?Kwa kufanya hivyo huoni kama ndio unampa Credits zaidi Lissu na chama chake kuliko ww unaonekana kulazimisha watu wamchukie??acha upotoshaji ndugu mvaa bullet proof vest,
nani anasifia uchaguzi wa kenya kua ni huru na wa haki kama sio muendelezo wa upotoshaji wako?![]()
napanic vipi wakati kibaraka anadanganya na kupotosha wadau waziwazi kabisa?Daah Mkuu mbona kama Umepanic hivi na hii hotuba ya Lissu??Unahofia nn?unaogopa nn??Hata kama ni Mapenzi Kwa chama chako na kukitetea mbona hatuona hoja zozote za maana zaidi ya personal attack Kwa Mh. Lissu?Kwa kufanya hivyo huoni kama ndio unampa Credits zaidi Lissu na chama chake kuliko ww unaonekana kulazimisha watu wamchukie??