Pre GE2025 Tundu Lissu: Tuungane na ACT ili iweje? Tukishirikiana na vyama vingine kwenye Uchaguzi, tunaenda kuliwa vichwa

Pre GE2025 Tundu Lissu: Tuungane na ACT ili iweje? Tukishirikiana na vyama vingine kwenye Uchaguzi, tunaenda kuliwa vichwa

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Elimu nimepata.. nimechangia mabadiliko tayari
 
Baada ya hotuba ya Lissu watanganyika sasa wameelewa elimu ya bure ya uraia. Wapo tayari kuiunga mkono CDM. Uchaguzi kwa mfumo huu hauna maana yeyote ni kupotezeana muda tu.
Aisee hili somo la leo tutalisambaza Nchi nzima.

Hata hivyo kuna wananchi kwa muda mrefu hawapigi kura tena.

Mwaka 2020 pekee waliojiandikisha ni 22M waliopiga kura ni 12M., Rais alishindwa kwa kura 8M.
 
Back
Top Bottom