Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 21,470
- 40,593
Taifa ni nini kwani?Mwenye uwezo wa kuhutubia taifa ni Mh. Rais Dkt Samia Suluhu Hassan, huyo Lisu semeni anaongea na online tv na sio kuhutubia taifa
Si ulisema hautafuatilia, hapa umefuata nini?kibaraka hua ana bweka bweka tu,
kabisa hua hana athari zozote kisiasa, kijamii au kiuchumi ispokua kuwafurahisha wenye midoma na makelele wenzake.
kibaraka hua ana bweka bweka tu,
kabisa hua hana athari zozote kisiasa, kijamii au kiuchumi ispokua kuwafurahisha wenye midoma na makelele wenzake.
Una washwa ni nini?Tulia rais aongee .Wewe msubiri mama yakoMwenye uwezo wa kuhutubia taifa ni Mh. Rais Dkt Samia Suluhu Hassan, huyo Lisu semeni anaongea na online tv na sio kuhutubia taifa
kwa ukurupukaji na papara za huyu kiongozi,
Ulisema hautafuatilia Lissu anasema nini Leo, nini kimekuleta hapa!?kwa ukurupukaji na papara za huyu kiongozi,
sure,Hata Rais wako alishasema Tundu Lissu ni SIMBA, kuonesha kuwa ana mchango kwenye siasa za nchi hii
Unabishana na mwenyekiti wako?
acha upotoshaji na uongo mbele ya wadau gentleman,Ulisema hautafuatilia Lissu anasema nini Leo, nini kimekuleta hapa!?
Waliosema Lissu akipiga Ngoma CCM wanademka, alikuwa sahihi kumbe.sure,
alisema huyo kibaraka ni simba koko
ni muanzilishi wa makelele na mdomo, vita ya maneno, uhasama, uadui na uvaaji bullet proof vest miongoni mwa wana chadema yenyewe na sio upotoshaji wako gentlemanWaliosema Lissu akipinga Ngoma CCM wanademka, alikuwa sahihi kumbe.
Lissu ndiye muanzisha mwendo Kwa siasa za Tanzania.
Lissu ndiye mtanzania pekee aliyekataa kunyamazishwa na Magufuli.ni muanzilishi wa makelele na mdomo, vita ya maneno, uhasama, uadui na uvaaji bullet proof vest miongoni mwa wana chadema yenyewe na sio upotoshaji wako gentleman
kiongozi wa chadema aache upotoshaji kuhusu idadi ya majimbo na wapiga kura wa dar es salaam na mikoa mingine, bila hata kutangaza tofauti ya wajumbe wapiga kura wa mkutano mkuu wa chadema taifa walipatikanaje na kwanini wana idadi tofauti kubwa sana kati ya kanda moja na nyingine, mkoa moja na mwingine na wilaya moja na nyingine?
Huyu akizungumza wenye Akili tunajua tunaweza kupata la maana na siyo Mwingine / Wengine ambao wana Pumba tu.
Babu akiongea kipaza chote kinajaa mate ukikamua kunajaa kikombe
ofcoz ni mtanzania mnafiki wa kwanza kuvaa bullet proof vest kwa kisingizio cha hatari za usalama wake ndani ya chadema HQ, lakini akisingizia taasisi za nje ya chadema,Lissu ndiye mtanzania pekee aliyekataa kunyamazishwa na Magufuli.
Kibaka? Na Sisi tukimuita Mwenyekiti wako kibaka itakua poa?HUYO KIBAKA BADO HAJAFIKIA KUTWA ANAHUTUBIA TAIFA SEMENI ANAONGEA NA WAANDISHI WA HABARI ,KUHUTUBIA TAIFA NI ISSUE NYNGINE LABDA AJARIBU MWAKA 2050
Huyu ndio kapendekeza Mzee mwenye kujitambua afukuzwe CCM, ila CCM buana, unamuacha mwenye akili unampa huyu Uenyekiti
mpaka sasa,
apewe maji ya kunywa jamani ana kiu huyo