Pre GE2025 Tundu Lissu: Tuungane na ACT ili iweje? Tukishirikiana na vyama vingine kwenye Uchaguzi, tunaenda kuliwa vichwa

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Hii ndiyo waingereza huiita "Panic attack" ๐Ÿ˜€๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜†
kwa hiyo hapo amepanic right?

naona anafuta mdomo tu na kuangalia pembeni kama maji yapo au hayapo,

maandalizi ya press conference nyingine bana dah ni shida tupu
 
Wewe ndiyo umepanik๐Ÿ˜†๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜€

Wahehe wanasema unaropokwa๐Ÿ˜€๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜†
unapaniki vipi kwaajili tu ya upotoshaji wa kibaraka mvaa bullet proof asie na athari kisiasa gentleman?
 
Wewe huwezi kujua athari zake kwa kuwa siye uliyekusudiwa. Kina Wassira ndiyo wanajua athari ya anachokisema Lissu.
anazungumzia atapataje wabunge wa viti maalumu huku

viti vingine haiwezekani dah, hesabu imegoma
 
Una haraka sana mpiga chabo... Wenye gemu lao wanajua nini wanafanya๐Ÿ˜†
apewe maji ya kunywa basi jamani mpaka aombe?

kuna na huruma basi kwa wasaidizi wake?

wakamchukulie maji yake kwenye gari analo chupa kubwa la maji
 
Kweli hakuna tatizo kwenye chaguzi za "Tanazania", ila kuna tatizo kubwa sana kwenye chaguzi za Tanzania.
 
acha upotoshaji ndugu mvaa bullet proof vest,

nani anasifia uchaguzi wa kenya kua ni huru na wa haki kama sio muendelezo wa upotoshaji wako?
 
Kweli hakuna tatizo kwenye chaguzi za "Tanazania", ila kuna tatizo kubwa sana kwenye chaguzi za Tanzania.
hakuna paragraph, nukta wala koma kwenye sheria au katiba ya Tanzania itabadilishwa kuelekea uchaguzi mkuu wa Tanzania oct.2025.

Na uchaguzi utafanyika kwa mujibu wa sheria kwa amani na salama,
na chama chenye sera nzuri na viongozi makini kitapewa dhaman ya kushika dola na kuongoza nchi kupitia sanduku la kura,

hakuna haja ya makelele wala mdomo
 
anaomba hela tena
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ