Pre GE2025 Tundu Lissu: Tuungane na ACT ili iweje? Tukishirikiana na vyama vingine kwenye Uchaguzi, tunaenda kuliwa vichwa

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
kama Taifa tunaomba hela USAID CHADEMA ikiomba hela toka kwa watanzania wenzake tatizo liko wapi?
kumbe lengo la hotuba lilikua ni kuomba kuchangiwa pocket money, dah

hotuba ndeeeeeefu pumba tupu,
kumbe lengo ni kuombaomba kucangiwa pocket money?
 
HUYO KIBAKA BADO HAJAFIKIA KUTWA ANAHUTUBIA TAIFA SEMENI ANAONGEA NA WAANDISHI WA HABARI ,KUHUTUBIA TAIFA NI ISSUE NYNGINE LABDA AJARIBU MWAKA 2050
Mkuu, nyumbu Wana akili basi. Hao ni WA kuwapuuza tu.....wanajifariji.
 
Hahahahahah huyu adui wa demokrasia kanichekesha. Kitu kizuri kula na nduguyo.
 

Hii ni maajabu
 
acha upotoshaji ndugu mvaa bullet proof vest,

nani anasifia uchaguzi wa kenya kua ni huru na wa haki kama sio muendelezo wa upotoshaji wako?
Daah Mkuu mbona kama Umepanic hivi na hii hotuba ya Lissu??Unahofia nn?unaogopa nn??Hata kama ni Mapenzi Kwa chama chako na kukitetea mbona hatuona hoja zozote za maana zaidi ya personal attack Kwa Mh. Lissu?Kwa kufanya hivyo huoni kama ndio unampa Credits zaidi Lissu na chama chake kuliko ww unaonekana kulazimisha watu wamchukie??
 
napanic vipi wakati kibaraka anadanganya na kupotosha wadau waziwazi kabisa?

eti uchaguzi wa kenya una sifiwa kila kona

uongo ni kitu mbaya sana aisee
 
Huu ni uchaguzi au uchafuzi?
 

Attachments

  • image_search_1739380737746.jpg
    114 KB · Views: 1
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…