Sasa kwa nini statements kutoka upinzani zinaonesha kila alichokifanya Magufuli hakikuwa sahihi?Kwani wakiingia wapinzani watagawa sururu na nyundo ili wananchi waharibu miundombinu? Wataingia wengine nao wataleta maendeleo bila kuleta unyanyasaji kwa wenye mitazamo tofauti.
Sasa kwa nini statements kutoka upinzani zinaonesha kila alichokifanya Magufuli hakikuwa sahihi?
7 Kikokotoo kibaki kile kile cha zamani kwa wastaafu.Sitaki kua mnafki nataka niende haki kwa wanyonge halisi. Haya ndio wanayoyataka
1.Ajira kwa vijana
2.Boresha Maslahi kwa watumishi wa umma na punguza kodi kwenye mishahara yao ibaki digit moja angalau 9%-6%View attachment 1522726View attachment 1522726
3.Kila mwanafunzi mwenye sifa za kujiunga chuo kikuu apate mkopo wa Elimu bila tatizo
4.Ondoa kikwazo cha wastaafu kuchukua pesa zao mpaka miaka 55
5.Boresha biashara,imarisha mzunguko wa fedha na uchumi kwa Rais
6.Imarisha sekta binafsi
6.Tatua migogoro ya wananchi moja kwa moja usiku na mchana
Nakuhakikishia ukisimama imara na kwa ujasiri unchakua Dola mchana kweupe.Wewe huna mpinzani achana na CCM walie na Ndege zao, SGR na STIGLERS zao ambazo hazina impact moja kwa moja kwa wananchi.
Suala la wewe kuibiwa kura halipo kama umeshinda dunia itaona na tutasimamia imara na wewe.
Aondoe kinga ya kutoshitakiwa kwa Rais aliyemaliza mda wake kinga hiyo ihesabike kutumika kuanzia 2015 na kuendelea mbele marais wa nyuma wasameheweApunguze mshahara wa Rais/mawaziri.
Kenya, Uganda wanaruhusu kuingia na pesa zozote Nchini mwao isipokuwa uzitumie hapo kwao zitumike usitoke nazo zote, lakini Tanzania ukija na pesa nyingi wanakunyang’anya kwa kisingizio cha utakatishaji pesa, kisingizio kisicho na Tija kwa maendeleo ya Nchi inakosa pesa za kigeni kwa hofu ya watanzania kutuma pesa zao ama kuja nazo cashAsitusahau pia watu wa online transactions. Ahakikishe BOT wanaruhusu kupokea pesa kwa PAYPAL.
Mali za CCM zigawanywe kwa wapinzani kwani walizimili kipindi cha mfumo wa chama kimoja na sasa ni vyama vingi hivyo yafaa wagawane majumba viwanja na mali zingine zoteMali za ccm ziakikiwe upya na zenye mashaka zirudishwe serikalini, mfano viwanja vya mpira nk
Thanks you very much. Mkuu wewe ndio umegusia moja kwa moja maslagi ya Wanyonge. Naunga mkono hoja.Sitaki kua mnafki nataka niende haki kwa wanyonge halisi. Haya ndio wanayoyataka
1.Ajira kwa vijana
2.Boresha Maslahi kwa watumishi wa umma na punguza kodi kwenye mishahara yao ibaki digit moja angalau 9%-6%View attachment 1522726View attachment 1522726
3.Kila mwanafunzi mwenye sifa za kujiunga chuo kikuu apate mkopo wa Elimu bila tatizo
4.Ondoa kikwazo cha wastaafu kuchukua pesa zao mpaka miaka 55
5.Boresha biashara,imarisha mzunguko wa fedha na uchumi kwa Rais
6.Imarisha sekta binafsi
6.Tatua migogoro ya wananchi moja kwa moja usiku na mchana
Nakuhakikishia ukisimama imara na kwa ujasiri unchakua Dola mchana kweupe.Wewe huna mpinzani achana na CCM walie na Ndege zao, SGR na STIGLERS zao ambazo hazina impact moja kwa moja kwa wananchi.
Suala la wewe kuibiwa kura halipo kama umeshinda dunia itaona na tutasimamia imara na wewe.
Kukiwa na mdahalo kati ya lissu na mwenyekiti wenu halafu kila mtu ataje na aeleze Sera zake, unaonaje halo?Lisu abakie huko kwenye kufungua kesi tu, Ila sio presidential material.
Yaani kabla hata hajaanza kampeni ushajua hoja zake, itakua ni marudio ya tukio lake la kupigwa risasi. Pole yake Ila jamaa Hana Cha ziada Cha kuwapa watu ukiachana na tukio Hilo.
Na wabungeApunguze mshahara wa Rais/mawaziri.
Nimekubaliana nawe toka huko juu hadi nilipofika kwenye mstari huu na nusu yake. Nikajiuliza..., hivi itawezekana kweli kwa mshindi yeyote kuitelekeza kabisa miradi hiyo ya SGR na Dimbwi la umeme na kuisahau kabisa kama haikuwahi kuwepo?Nakuhakikishia ukisimama imara na kwa ujasiri unchakua Dola mchana kweupe.Wewe huna mpinzani achana na CCM walie na Ndege zao, SGR na STIGLERS zao ambazo hazina impact moja kwa moja kwa wananchi.
Ingekuwa Nchi inachukuliwa kwa kuandika tu, hata Mimi ningeichukua! Wananchi wa siku hizi wanalinganisha maneno na matendo ya mhusika, chama na wamzungukao, unayemsema si mgeni amekuwepo siku nyingi wananchi wanamfahamu. Hayo maneno kila mtu anaweza kuyasema lakini wachache sana wanaweza kuyatekeleza.Sitaki kua mnafki nataka niende haki kwa wanyonge halisi. Haya ndio wanayoyataka
1.Ajira kwa vijana
2.Boresha Maslahi kwa watumishi wa umma na punguza kodi kwenye mishahara yao ibaki digit moja angalau 9%-6%View attachment 1522726View attachment 1522726
3.Kila mwanafunzi mwenye sifa za kujiunga chuo kikuu apate mkopo wa Elimu bila tatizo
4.Ondoa kikwazo cha wastaafu kuchukua pesa zao mpaka miaka 55
5.Boresha biashara,imarisha mzunguko wa fedha na uchumi kwa Rais
6.Imarisha sekta binafsi
6.Tatua migogoro ya wananchi moja kwa moja usiku na mchana
Nakuhakikishia ukisimama imara na kwa ujasiri unchakua Dola mchana kweupe.Wewe huna mpinzani achana na CCM walie na Ndege zao, SGR na STIGLERS zao ambazo hazina impact moja kwa moja kwa wananchi.
Suala la wewe kuibiwa kura halipo kama umeshinda dunia itaona na tutasimamia imara na wewe.
Bodi ya mikopo tulikuwa tunalipa 8% meko alipoingia akazidisha karibu mara mbili (15%). Tukadhani wataongezeka wanaokopeshwa lakini bado tu wadogo zetu wanakosa mikopo.Apunguze na makato ya Bodi ya Mikopo
Jambo lingine:aidi kuendeleza ujenzi wa miundombinu kwa kushirikisha sekta binafsi ili kuipunguzia serikali mzigo na pia ili kuepuka mzigo wa madeni na hivyo kuiongezea serikali uwezo wa kuajiri,kuboresha masilahi ya wafanyakazi,kununua madawa,n.k
Ukiwa mshauri wake, utamuangusha. Yaani kwa akili yako unaona hayo yanapimika kwa mwananchi mpiga kura?Sitaki kua mnafki nataka niende haki kwa wanyonge halisi. Haya ndio wanayoyataka
1.Ajira kwa vijana
2.Boresha Maslahi kwa watumishi wa umma na punguza kodi kwenye mishahara yao ibaki digit moja angalau 9%-6%View attachment 1522726View attachment 1522726
3.Kila mwanafunzi mwenye sifa za kujiunga chuo kikuu apate mkopo wa Elimu bila tatizo
4.Ondoa kikwazo cha wastaafu kuchukua pesa zao mpaka miaka 55
5.Boresha biashara,imarisha mzunguko wa fedha na uchumi kwa Rais
6.Imarisha sekta binafsi
6.Tatua migogoro ya wananchi moja kwa moja usiku na mchana
Nakuhakikishia ukisimama imara na kwa ujasiri unchakua Dola mchana kweupe.Wewe huna mpinzani achana na CCM walie na Ndege zao, SGR na STIGLERS zao ambazo hazina impact moja kwa moja kwa wananchi.
Suala la wewe kuibiwa kura halipo kama umeshinda dunia itaona na tutasimamia imara na wewe.
Tatizo munaamini Lissu ana akili timamu. Mmesahau ndiye aliyemuingiza dada yake Bunge la Katiba. Munasahau ndo anawatoza milioni 20 wana CDM wenzake kusimamia kesi zao. Yaani awe rais aache ubinafsi ahangaikie mshahara wake kuukata! Hicho ni kichwa kiko tenge!!Apunguze mshahara wa Rais/mawaziri.
Mbona uliyoyasema si hoja tena katika utekelezaji wa ilani ya uchaguzi ya CCM 2015 - 2020.Sitaki kua mnafki nataka niende haki kwa wanyonge halisi. Haya ndio wanayoyataka
1.Ajira kwa vijana
2.Boresha Maslahi kwa watumishi wa umma na punguza kodi kwenye mishahara yao ibaki digit moja angalau 9%-6%View attachment 1522726View attachment 1522726
3.Kila mwanafunzi mwenye sifa za kujiunga chuo kikuu apate mkopo wa Elimu bila tatizo
4.Ondoa kikwazo cha wastaafu kuchukua pesa zao mpaka miaka 55
5.Boresha biashara,imarisha mzunguko wa fedha na uchumi kwa Rais
6.Imarisha sekta binafsi
6.Tatua migogoro ya wananchi moja kwa moja usiku na mchana
Nakuhakikishia ukisimama imara na kwa ujasiri unchakua Dola mchana kweupe.Wewe huna mpinzani achana na CCM walie na Ndege zao, SGR na STIGLERS zao ambazo hazina impact moja kwa moja kwa wananchi.
Suala la wewe kuibiwa kura halipo kama umeshinda dunia itaona na tutasimamia imara na wewe.
Samahani mkuu naomba kujua, wapunguze au vifutwe kabisa halafu watajiendesha vipi ikiwa hayo makato ni moja ya vyanzo vyao vya mapato?Makato ya benki na makampuni ya simu. Ni uwizi mkubwa.
futa kabisa.Nchi nyingi tu pesa yako benki au kwenye simu haikatwi.