Tundu Lissu uongozi ni hekima wewe huna karama hiyo ,,,

Uko sawa kwa yote, lakini Tundu Lissu siyo material ya Uongozi wa juu wa Taifa. He is worse than Magufuli
 
Uko sawa kwa yote, lakini Tundu Lissu siyo material ya Uongozi wa juu wa Taifa. He is worse than Magufuli

..Lissu anafanana zaidi na Mkapa kuliko Magufuli.

..Lissu anapenda kujisomea kama alivyokuwa Mkapa.

..Lissu ni muandishi mzuri kama alivyokuwa Mkapa.

..Anapotofautiana na Mkapa ni kwenye kutetea HAKI. Kwenye masuala ya HAKI huwezi kusikia Lissu amesalimu amri.

..Ndio maana wakati wa kampeni alimgomea IGP, na RPC wa mkoa wa Pwani. Pia alikataa kupiga magoti ili Magufuli na Ndugai wakubali kugharamia matibabu yake.
 
tulikosea Sana kumwamini lissu kuwa anafaa kuwa rais wa nchi ,tulikosea Sana, mwanaharakati,lissu Hana japo chembe ya hekima ,anatukana Kila kitu mtu, siasa haziwezi tulikosea Sana.
Kama hoja hii ni ukweli, then naomba mnisamehe sana, maana, mimi ni miongoni mwa tuliomchagiza Lissu agombee!.
P
 
Mbona husemi waliomshambulia kwa risasi hawajakamatwa hadi leo ilhali walifanya uhalifu maeneo ya kiserikali?

Hayo yakitokea leo ni mwaka wa 4 hakuna hata mtu mmoja aliyepanda kizimbani.

Lissu huyo huyo mkamvua ubunge kwa njama za wazi eti spika anasema hajui Lissu alikua uhamishoni kama mgonjwa si aibu sana hii
 
Mbowe ataachiwa na nani? Kwa porojo za Zitto na Hangaya wake au kwa mchakato wa kisheria kwenye Mahakama ya Mchongo kukamilika?

It is simple...ukiwa na akili ndogo huwezi kumwelewa Lissu wala Chadema
 
Mkuu usiingie kwenye mtego wa wasio na maarifa..

Simple logic, Freeman ataachiwa kwa porojo za Zitto na Bibi yake Hangaya au kwa mchakato wa kitiganga kukamilika Mahakamani?

Wacha tufike mwisho, Hangaya na Mapolisi wake wajinga wamelikoroga wacha walinywe, wasitake kuingilia Mahakama hata kama ni ya Mchongo
 
Lisu hana maana kabisa sifa kubwa ni Hasira ya bila kujizuia maamuzi yake hua yana yanakiumiza hata chama chake Kama vile suala la kina mdee yeye ndiyo alishikilia maamuzi kwamba wafukuzwe uanachama huyu jamaa ni magufuli mwingine aliyejivika ngozi ya kondoo.
 
Labda wanataka kumfanya Mbowe Mandela au Zuma mwingine.
 
Issue ni hekima, hana kabisa
 
Kua na busara ya uongozi haimanishi uwe mpole na subira ya kukubali kila kitu.. tuache masihara Lissu ni kiongozi wa tofauti sana . Shida ya walio wengi wanapenda mtu soft eti ndo kiongozi bora. What a nosense.

Sent from my SM-G935U using JamiiForums mobile app
 
Hii ukiwa mjuaji wa kuongea sana na kuhaadaa watu ingia kwenye siasa utapata wafusi wengi...
 
Sure bob,hakuna mtu humoo
 
Kwa TANZANIA Sio LAZIMA uwe na HEKIMA tuna Viongozi Wakubwa sana HAWANA HEKIMA
 
Tatizo la Lissu anaongea UKWELI mchungu ambao hampendi kuusikia ! SPANA.
Angepata hata nusu tu ya busara ya kawaida kama ya Mbowe ningekuelewa..
Ogopa sana binadamu anayeamini kuwa yeye ndio yuko sahihi muda wote kwenye uongozi..
Uongozi sio kupiga SPANA, ni reasoning.
 
Lissu kakurupuka kumjibu Zitto,kumbe wenzake walienda na file kumuangukia Mangula!
Yaan Katibu hajamtaarifu kaimu mwenyekiti wake kwamba anakwenda kwa makamu mwenyekiti wa ccm kuomba msamaha,ili mbowe aachiwe
Mhhh yapo mambo mengine yanafanyika behind the scenes,lengo ni mmoja to free Freeman kama jina lake.
Freeman akisha kuwa nje ya lupango,itakuwa furaha kwa wote yaani Kwake mwenyewe na family yake,Lissu, Zitto, SSH,na wananchi kwa ujumla.
 
Lissu, hamna kitu labda anapata huruma baada ya kupigwa zile risasi lakini hafai kuwa rais, labda rais wa Chadema.
 
Usipokuwa na akili huwezi kumuelewa Lissu,Lissu ni akili kubwa sana.

Ebu tutajie hilo tusi moja tu alilotukana tangu aingie kwenye siasa na kuanza kuongea km kiongozi au mgombea.

Ukishindwa kutaja hilo tusi ujue wazi kuwa wewe sio tu ni mjinga bali ni mental retarded kabisa,hakuna unalojua zaidi ya kula na kwenda chooni.
 
Kichwa habari tu kimefanya nisiendelee kuisoma komenti yako.tulikosea kumwamini Lisu, wewe na nani,lini tulimwamini na wapi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…