nyakubonga
JF-Expert Member
- Apr 5, 2015
- 5,960
- 9,978
Leo umeongea fact...Kosa lilianza hapa:-
1. Kumkaribisha Lowasa na kumpa nafasi ya kugombea urais, ili hali Dr. Slaa alikuwa kishaandaliwa.
Ikaonekana chama hakiheshimu hustle za wanachama wake bali hela.
2. Viongozi kushiriki maridhiano bila ya kuruhusiwa na vikao vya chama toka ngazi ya chini ya chama .
Ikaonekana kuwa kumbe chama ni cha viongozi tu.
3. Kutoa matamko yasiyosimamiwa. Mfano huko nyuma chadema ilosema haitashiriki uchaguzi bila kuwa na tume huru. Mara ghalfa chama kikabadili gia angani.
Tupe mahali alishatoa statement kama msemaji wa chamaNa Lucas Mwashambwa anamsemea Samia!
Hoja ya msingi uliyoitoa hapa ni umuhimu wamaamuzi makubwa ya chama kuhusisha chama kizima, yàani wanachama wote kupitia uwakilishi wa viongozi wote wa ngazi zote.Kosa lilianza hapa:-
1. Kumkaribisha Lowasa na kumpa nafasi ya kugombea urais, ili hali Dr. Slaa alikuwa kishaandaliwa.
Ikaonekana chama hakiheshimu hustle za wanachama wake bali hela.
2. Viongozi kushiriki maridhiano bila ya kuruhusiwa na vikao vya chama toka ngazi ya chini ya chama .
Ikaonekana kuwa kumbe chama ni cha viongozi tu.
3. Kutoa matamko yasiyosimamiwa. Mfano huko nyuma chadema ilosema haitashiriki uchaguzi bila kuwa na tume huru. Mara ghalfa chama kikabadili gia angani.
Hio higher level of thinking ndo kumsifia Samia kweny majukwaa?Kuna issues ambazo ni technical, zinahitaji higher level thinking to resolve. sasa kwenye grassroots level unatafuta nini? Kuna mambo ya kuwashirikisha na mambo mengine yanahitaji higher mental faculties to resolve ambapo chini kabisa hawawezi kuwa na maamuzi!
Akili kumkichwa. Lisu ametumwa na ccm kuibomoa chadema. He is for the purposeMakamu Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu akihojiwa na Kituo cha NTV cha Kenya amesema “Upinzani unahitaji kuwa na Uongozi wenye maono makubwa na yasiyokuwa na mawenge tofauti na ilivyokuwa hapo Katikati.”
Aidha, Lissu amezungumza kuhusu nafasi ya kuwania Urais wa Tanzania kupitia CHADEMA baada ya kuulizwa kuwa licha ya yeye kuwa na mpango wa kuwania pia inadaiwa Mwenyekiti wake, Freeman Mbowe naye ana mpango wa kuwania Urais.
eTuna mpinzani mmoja au watatu tu:
1. Heche
2. Lissu
3. Lema?????
Haha najua ccm haimpendi kwa unabii3: Acha kichekesho ,huyu ni mchekeshaji sio mpinzani
e
Angekuwa nabii si angetabiri ujio wa Lowassa?Haha najua ccm haimpendi kwa unabii
nani alimsifia?Hio higher level of thinking ndo kumsifia Samia kweny majukwaa?
Umesahau Mbowe alimsifia Samia na kumshukuru sana.nani alimsifia?
Was that wrong? Mtu anakwambia njoo tuongee na anaonesha dalili kuwa yuko serious, kama wewe unakataa kwa sababu ipi? Huku kukengeuka kwa samia ni baada ya machawa kumjaza upepo na kwa vile hana personal thinking, akakengeuka.Umesahau Mbowe alimsifia Samia na kumshukuru sana.
Mimi ngoja nistick kweny nilichosema "MBOWE ALIMSHUKURU NA KUMSIFIA SAMIA HADHARANI" bisha hilo nikuletee ushahidi... Hayo mengne uliyoandika sina shida nayo. Msikilize Lissu apo ndo utajuaWas that wrong? Mtu anakwambia njoo tuongee na anaonesha dalili kuwa yuko serious, kama wewe unakataa kwa sababu ipi? Huku kukengeuka kwa samia ni baada ya machawa kumjaza upepo na kwa vile hana personal thinking, akakengeuka.
Ndiyo maana kuna mabaraza ya kata katika ardhi kuleta maidhiano bila kufika mahakamani.........
sasa ameisha onesha her true coluors, sasa pendekeza nini kifanyike? Maandamano ndiyo njia rahisi ya kuwaweka kitimoto watawala. sasa mimi na wewe tunaogopa kufa, MBOWE afanyeje?
Jana Polisi walikataz amkutano wa Lisu, lifanya nini? Unafanya nini mbele ya polisi wauaji? hatuna ubavu wa kufa kama waknya/bangladesh, Mbowe afanyeje?
Lisu siyo msahafu! he is a human being and therefore can make mistakes/miscomprehend issues!Mimi ngoja nistick kweny nilichosema "MBOWE ALIMSHUKURU NA KUMSIFIA SAMIA HADHARANI" bisha hilo nikuletee ushahidi... Hayo mengne uliyoandika sina shida nayo. Msikilize Lissu apo ndo utajua
LISU UNAROPOKA........ LISU UNAROPOKA......LISU UNAROPOKA.Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu akihojiwa na Kituo cha NTV cha Kenya amesema “Upinzani unahitaji kuwa na Uongozi wenye maono makubwa na yasiyokuwa na mawenge tofauti na ilivyokuwa hapo Katikati.”
Aidha, Lissu amezungumza kuhusu nafasi ya kuwania Urais wa Tanzania kupitia CHADEMA baada ya kuulizwa kuwa licha ya yeye kuwa na mpango wa kuwania pia inadaiwa Mwenyekiti wake, Freeman Mbowe naye ana mpango wa kuwania Urais.
ni vizuri chadema wakaamua wenyewe, ni ama Puppet au Patriotic awe kiongozi wao 🐒Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu akihojiwa na Kituo cha NTV cha Kenya amesema “Upinzani unahitaji kuwa na Uongozi wenye maono makubwa na yasiyokuwa na mawenge tofauti na ilivyokuwa hapo Katikati.”
Aidha, Lissu amezungumza kuhusu nafasi ya kuwania Urais wa Tanzania kupitia CHADEMA baada ya kuulizwa kuwa licha ya yeye kuwa na mpango wa kuwania pia inadaiwa Mwenyekiti wake, Freeman Mbowe naye ana mpango wa kuwania Urais.
ewaa sasa pasuanen vzri sasa kikubwa Mbowe alimsifia Samia na ww umelikiri hilo basi kwa hapa sina mjadala mwingine. Lissu for presidency in 2025 nyie wafie Mbowe mtajua wenyeweLisu siyo msahafu! he is a human being and therefore can make mistakes/miscomprehend issues!
pumbavu zako kabisa, chawa wa samia. hatoki mtu Mbowe ni mpinzani wa kweliTuna mpinzani mmoja au watatu tu:
1. Heche
2. Lissu
3. Lema?????